BILIONI 50 KUJENGA KIWANJA CHA NDEGE CHA MTWARA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, amesema kuwa ameridhishwa na mradi wa upanuzi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mtwara ambao unajengwa na mkandarasi M/S Beijing Construction Engineering Group Company Ltd na kugharimu shilingi Bilioni 50.3
Akizungungumza wakati akikagua kiwanja hicho ambacho utekelezaji wake umefika asilimia 31, Mwakalinga, amesema kuwa kukamilika kwake kutafungua fursa nyingi za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)
10 years ago
MichuziKiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) chatakiwa kuimarishwa kiushindani
Ujenzi huo unaotarajiwa kuongeza uwezo wa uwanja wa mara tatu zaidi umejikita katika sehemu za maegesho ya magari, sehemu ya abiria kupumzika, sehemu za abiria kupandia na kushuka kwenye ndege, ofisi za uhamiaji na huduma zingine muhimu.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Suleiman S. Suleiman...
10 years ago
VijimamboTAA yashauriwa kuimarisha kiushindani Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNIA.
9 years ago
Michuzi
Jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere lakamilika asilimia 65

10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Kampuni ya TRASWORLD yazindua huduma zake katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua huduma za Kampuni ya Trasworld Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Transworld Abdallah Al Suleimany na (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akiteremka kwenye ndege ya mizigo ya Astral baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Trasworld.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Trasworld hapa Zanzibar Hassan...
5 years ago
Michuzi
KWANDIKWA AAGIZA UBORA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE

Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Pius Kazeze, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akikagua hatua za uboreshaji wa kiwanja hicho, mkoani Mbeya


10 years ago
Michuzi03 Dec
KIWANJA CHA NDEGE CHA KIGOMA KUTANULIWA


5 years ago
Michuzi
NDEGE ZA ABIRIA 200 KUTUA KIWANJA CHA DODOMA

Kazi ya upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma ikiendelea. Mradi huo umefikia asilimia 30 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.

Mafundi wa Kampuni ya CHICO wakiendelea na kazi ya upimaji katika Kiwanja cha Ndege cha Dodoma. Mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.5.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu, Meneja wa...
5 years ago
CCM BlogNDEGE ZA ABIRIA ZAIDI YA 200 KUTUA KIWANJA CHA DODOMA
Dodoma, Tanzania
Kukamilika kwa upanuzi wa mita 250 katika kiwanja cha ndege cha Dodoma kutaruhusu ndege kubwa zenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 200 aina ya Airbus kuruka...