KIWANJA CHA NDEGE CHA KIGOMA KUTANULIWA
Kaimu Meneja wa Kiwanja cha Ndege Kigoma, Bw. Joseph Nyahende (Wapili kushoto) akitoa maelezo kuhusu Kiwanja cha Ndege Kigoma kwa Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Kulia). Wanaosikiliza ni Meneja Mradi wa Utanuzi wa Kiwanja cha Kigoma, Mhandisi Neema Mwasha (Kushoto) na Bw. Julius Edward (Wapili kulia).
Meneja Mradi wa Utanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma, Mhandisi Neema Mwasha (Kushoto) akifafanua jambo kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)
10 years ago
MichuziKiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) chatakiwa kuimarishwa kiushindani
Ujenzi huo unaotarajiwa kuongeza uwezo wa uwanja wa mara tatu zaidi umejikita katika sehemu za maegesho ya magari, sehemu ya abiria kupumzika, sehemu za abiria kupandia na kushuka kwenye ndege, ofisi za uhamiaji na huduma zingine muhimu.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Suleiman S. Suleiman...
10 years ago
VijimamboTAA yashauriwa kuimarisha kiushindani Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNIA.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0Q-RuMCpga8/VlAxvjVmYvI/AAAAAAAIHgc/Kxi4j1rxfzM/s72-c/078d5072-ca01-443a-83c6-36e145da1ea5.jpg)
Jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere lakamilika asilimia 65
![](http://3.bp.blogspot.com/-0Q-RuMCpga8/VlAxvjVmYvI/AAAAAAAIHgc/Kxi4j1rxfzM/s640/078d5072-ca01-443a-83c6-36e145da1ea5.jpg)
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Kampuni ya TRASWORLD yazindua huduma zake katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua huduma za Kampuni ya Trasworld Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Transworld Abdallah Al Suleimany na (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akiteremka kwenye ndege ya mizigo ya Astral baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Trasworld.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Trasworld hapa Zanzibar Hassan...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bfEoySLFiIo/XvMM3-x_jMI/AAAAAAALvMg/-sN8PajKwMMTZLtreJlGWlarToaEbb75ACLcBGAsYHQ/s72-c/0c48cdaa-436c-40be-9df0-e92027de8176.jpg)
KWANDIKWA AAGIZA UBORA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-bfEoySLFiIo/XvMM3-x_jMI/AAAAAAALvMg/-sN8PajKwMMTZLtreJlGWlarToaEbb75ACLcBGAsYHQ/s640/0c48cdaa-436c-40be-9df0-e92027de8176.jpg)
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Pius Kazeze, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akikagua hatua za uboreshaji wa kiwanja hicho, mkoani Mbeya
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/46e955d9-2478-4dcb-9766-422ef244e2e5.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/53f4165d-2c68-478d-9c88-da5fefec0185.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8OZyFT0ozg0/XlzHlO17x7I/AAAAAAALgUo/Elc8RYpxzWcIMQd8Za85YrvlHtLmRqRxgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
BILIONI 50 KUJENGA KIWANJA CHA NDEGE CHA MTWARA
Akizungungumza wakati akikagua kiwanja hicho ambacho utekelezaji wake umefika asilimia 31, Mwakalinga, amesema kuwa kukamilika kwake kutafungua fursa nyingi za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-R-ETGMHfbK0/Xu8kWBQxEHI/AAAAAAALuzQ/SLNj2pd5sZIG5ZiZVKMe5JI83Gg_SRy0ACLcBGAsYHQ/s72-c/3-26.jpg)
NDEGE ZA ABIRIA 200 KUTUA KIWANJA CHA DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-R-ETGMHfbK0/Xu8kWBQxEHI/AAAAAAALuzQ/SLNj2pd5sZIG5ZiZVKMe5JI83Gg_SRy0ACLcBGAsYHQ/s640/3-26.jpg)
Kazi ya upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma ikiendelea. Mradi huo umefikia asilimia 30 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/4-21.jpg)
Mafundi wa Kampuni ya CHICO wakiendelea na kazi ya upimaji katika Kiwanja cha Ndege cha Dodoma. Mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.5.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/1-34.jpg)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu, Meneja wa...
5 years ago
CCM BlogNDEGE ZA ABIRIA ZAIDI YA 200 KUTUA KIWANJA CHA DODOMA
Dodoma, Tanzania
Kukamilika kwa upanuzi wa mita 250 katika kiwanja cha ndege cha Dodoma kutaruhusu ndege kubwa zenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 200 aina ya Airbus kuruka...