Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Binti atokwa na mawe badala ya machozi

Binti mmoja wa miaka 12, amewaacha madaktari wakikosa jina la ugonjwa unaomsumbua wala tiba, kutokana na kutokwa na mawe badala ya machozi anapolia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Obama atokwa na machozi akihutubu

Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama atokwa na machozi akizungumzia silaha

Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani.

 

10 years ago

GPL

TUMIENI ALAMA ZA AJALI BARABARANI BADALA YA MAJANI, MAWE - MPINGA

Kamanda Mpinga akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano.…

 

9 years ago

GPL

DENTI ATOKWA MAGAMBA KAMA YA NYOKA

MATESO! Mtoto aitwaye Chacha Robert (15), (pichani), mkazi wa Musoma, Mara anateseka na ugonjwa wa ajabu wa kuota magamba kama ya nyoka sehemu ya mwili hali inayomsababishia kutengwa na jamii.....Soma zaidi===>http://bit.ly/1KiyJNS

 

11 years ago

GPL

VAI WA UKWELI ATOKWA MABAKA MWILINI

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutokwa na mabaka mwili mzima. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ Hivi karibuni, paparazi wetu alimnasa Vai wa Ukweli akiwa nyumbani kwake maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo alisema anashukuru Mungu kwani yupo kwenye dozi ya mwezi mzima baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

Zijue faida za domain ya .co.tz badala ya .com


Ni mara ngapi umekuwa ukiumiza sana kichwa kwa sababu majina yote ya .com yanayoendana na jina halisi la biashara yako tayari yameshachukuliwa? mfano, wewe kampuni yako inaitwa Dudumizi, na kila ukitafuta dudumizi.com , Dudumizi.net na hata Dudumizi.info unakuta tayari yameshachukuliwa, hakuna sababu ya kuchanganyikiwa, tunayo .co.tz, majina ya kitanzania zaidi.
Watu wengi wamekuwa wakipendelea kutumia majina ya .com. Wengi wamekuwa na imani kuwa kwa kutumia majina ya .com kinawafanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngono mchana badala ya chakula

Baadhi ya wananchi wa Uganda wametoa maoni yao kufuatia kauli iliyotolewa na Waziri anayehusika na maadili nchini humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wapewe magari badala ya fedha

Gazeti hili jana lilikuwa na habari iliyopewa uzito mkubwa kwenye ukurasa wa kwanza kwamba ‘Wabunge wagomea Sh90milioni za ‘mashangingi’, fedha ambazo wanatakiwa kukopeshwa kwa ajili ya kununulia magari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop), ambayo ni vitendea kazi vyao. Wabunge hutakiwa kulipa nusu ya fedha hizo wakati nyingine ni mchango wa Serikali.

 

9 years ago

Raia Mwema

Na tutalindwa na jeshi badala ya kulengwa nalo

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani