Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bintimfalme Hispania ahojiwa mahakamani

Bintimfalme wa Hispania amehojiwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi zinazomhusisha na biashara za mume wake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tumbili mwenye jina sawa na bintimfalme

Hifadhi moja ya wanyama huko Japan imelazimika kuomba msamaha baada ya kuipa tumbili jina sawa na la binti mfalme wa Uingereza Charlotte

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makamba ahojiwa, ainanga CCM

NAIBU Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba, amehojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuikosoa CCM kwamba sio dhambi kutangaza nia mapema kuwania uongozi....

 

11 years ago

Mwananchi

Nahodha wa Kilimanjaro II ahojiwa polisi Zanzibar

 Wakati watu saba wakiwa bado hawajaonekana baada ya boti ya Kilimanjaro II, kupata ajali na abiria kuzama baharini, nahodha wa chombo hicho alitoa taarifa za uongo kuhusu ajali hiyo imefahamika.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU AHOJIWA MASAA MATATU NA TAKUKURU


Ofisi ya Takukuru mkoani Singida imemuhoji kwa masaa kadhaa naibu waziri wa fedha na aliye kuwa mbunge wa Iramba Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba, kwa tuhuma za kukiuka sheria ya garama ya uchaguzi na sheria ya kuzui na kupambana na rushwa.Akiongea na waandishi wa habari mkuu wa Takukuru mkoani Singida Bwana Joshua Msuya amesema Mheshimiwa Mwigulu Nchemba amekiuka sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007 katika zoezi linalo ndelea la kura za maoni ndini ya vyama vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Masogange ahojiwa ‘airport’ zaidi ya saa 10

>Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhuma za kukamatwa na dawa aina ya crystal methamphetamine huko Afrika Kusini, Julai mwaka jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sarkozy ahojiwa kuhusu fedha za uchaguzi

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anashikiliwa akihojiwa kutokana na matumizi mabaya ya fedha za uchaguzi

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu ahojiwa na Takukuru kwa rushwa

>Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida, inamhoji Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani