Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BI.RUTH MANFRED NDIYE MSHINDI BIBI BOMBA 2014

Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel, mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango na aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.Washiriki walioingia tano bora.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bi Rusi Manfred ndiye Bibi Bomba 2014

Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel jijini Dar es salaam , mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango. Aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano. Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake

Mashabiki wakimshangilia Mshindi

Bi Rusi akiwa ameshikiria Hati ya kiwanja kama
moja ya zawadi...

 

11 years ago

CloudsFM

Fainali ya Bibi Bomba ni leo kuonekana Live Clouds TV, mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13

Fainali ya Bibi Bomba ni leo inafanyika kwenye jumba maeneo ya Mikocheni kuonekana Live Clouds TV,mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13.

 

10 years ago

Michuzi

ELIZABETH TARIMO NDIYE MSHINDI WA MISS KANDA YA MASHARIKI 2014

Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2014 ,  Elizabeth  Tarimo (18) ambaye pia ni Miss Lindi akiwa mwenye uso wa furaha na tabasamu la ushindi sambamba na  mshindi wa pili  Nidah Katunzi (19) ( kulia) ,ambaye ni Miss Mtwara pamoja na wa tatu, Lucy Julius Diyu  (21) (kushoto) Miss Morogoro baada ya kutangazwa kuwa washindi kwenye nafasi hizo wakati  kinya’ganyiro cha kuwania taji hilo  kilichofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nashera ya mjini...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA

Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe...

 

10 years ago

Vijimambo

MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA


Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.

Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe mashindanoni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sakina Lyoka na siri ya kuanzisha ‘Bibi Bomba’

CHANGAMOTO ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu katika shughuli zake za kila siku, kwani bila hivyo hauwezi kusonga mbele katika malengo ambayo umejipangia kuyafikia.  Hayo ni maneno ya mratibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malkia Kopa, Dogo Aslay wapagawisha Bibi Bomba

MSANII kinda wa muziki wa kizazi kipya, Dogo Aslay na Malikia wa Mipasho duniani, Khadija Kopa ‘Top In Town’ juzi walipagawisha katika hafla ya shindano la Bibi Bomba iliyofanyika ukumbi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hukumu kwa Clouds Radio na TV ukiukwaji wa kanuni za utangazaji kipindi cha Bibi Bomba na njia panda

10492481_10202574900320231_1094175545817198175_n

Mwenyekiti wa Kamati Maudhui Eng. Margaret Munyagi (wa pili kulia), akisoma hukumu dhidi ya Could FM na Clouds TV kuhusu uvunjwaji wa kanuni za utangazaji.. Wengine toka kushoto, Abdul Ngarawa, Joseph Mapunda na Walter Bugoya.(Picha kwa hisani ya Innocent Mungy wa TCRA).

Rulling Clouds Fm Radio by moblog

 

9 years ago

Habarileo

JK: Magufuli ndiye mshindi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema tayari mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ameshashinda uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani