Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bi Rusi Manfred ndiye Bibi Bomba 2014

Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel jijini Dar es salaam , mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango. Aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano. Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake

Mashabiki wakimshangilia Mshindi

Bi Rusi akiwa ameshikiria Hati ya kiwanja kama
moja ya zawadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

BI.RUTH MANFRED NDIYE MSHINDI BIBI BOMBA 2014

Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel, mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango na aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.Washiriki walioingia tano bora.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sakina Lyoka na siri ya kuanzisha ‘Bibi Bomba’

CHANGAMOTO ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu katika shughuli zake za kila siku, kwani bila hivyo hauwezi kusonga mbele katika malengo ambayo umejipangia kuyafikia.  Hayo ni maneno ya mratibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malkia Kopa, Dogo Aslay wapagawisha Bibi Bomba

MSANII kinda wa muziki wa kizazi kipya, Dogo Aslay na Malikia wa Mipasho duniani, Khadija Kopa ‘Top In Town’ juzi walipagawisha katika hafla ya shindano la Bibi Bomba iliyofanyika ukumbi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hukumu kwa Clouds Radio na TV ukiukwaji wa kanuni za utangazaji kipindi cha Bibi Bomba na njia panda

10492481_10202574900320231_1094175545817198175_n

Mwenyekiti wa Kamati Maudhui Eng. Margaret Munyagi (wa pili kulia), akisoma hukumu dhidi ya Could FM na Clouds TV kuhusu uvunjwaji wa kanuni za utangazaji.. Wengine toka kushoto, Abdul Ngarawa, Joseph Mapunda na Walter Bugoya.(Picha kwa hisani ya Innocent Mungy wa TCRA).

Rulling Clouds Fm Radio by moblog

 

11 years ago

CloudsFM

Fainali ya Bibi Bomba ni leo kuonekana Live Clouds TV, mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13

Fainali ya Bibi Bomba ni leo inafanyika kwenye jumba maeneo ya Mikocheni kuonekana Live Clouds TV,mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13.

 

10 years ago

Mwananchi

Sitti ndiye Miss Tanzania 2014

Mrembo kutoka Temeke Sitti, Mtemvu ametwaa taji la Reds Miss Tanzania 2014 katika mashindano yaliyofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diana ndiye Miss Tanga 2014

MREMBO Diana Theojackson amenyakua taji ya Nice &Lovely Miss Tanga 2014 na kuzawadiwa gari aina ya Toyota Vitz lenye thamani ya sh milioni kumi. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na...

 

10 years ago

StarTV

Brahimi ndiye mwanasoka wa BBC Afrika 2014

Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika BBC mwaka huu amepatikana. Baada ya maelfu ya kura kuhesabiwa, mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi ndiye mshindi wa mwaka huu.

Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe wa 2014.

Aliingiza bao la ushindi dhidi ya mabingwa wa Hispania Barcelona, bao lengine la kisasa katika ligi ya mabingwa...

 

11 years ago

GPL

AMBASIA MALIY NDIYE MISS TABATA 2014

Mshindi wa taji la Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy (katikati) akipozi na mshindi wa pili Ramta Mkadara (kushoto) na wa tatu Faudhia Feka (kulia). Washindi walioingia Top 3 wakati wakisubiri atangazwe mshindi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani