Sakina Lyoka na siri ya kuanzisha ‘Bibi Bomba’
CHANGAMOTO ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu katika shughuli zake za kila siku, kwani bila hivyo hauwezi kusonga mbele katika malengo ambayo umejipangia kuyafikia. Hayo ni maneno ya mratibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/bO3Pu-NoDu0/default.jpg)
11 years ago
Michuzi29 Jun
Bi Rusi Manfred ndiye Bibi Bomba 2014
moja ya zawadi...
11 years ago
CloudsFM30 Jun
BI.RUTH MANFRED NDIYE MSHINDI BIBI BOMBA 2014
Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel, mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango na aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.
Washiriki walioingia tano bora.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Malkia Kopa, Dogo Aslay wapagawisha Bibi Bomba
MSANII kinda wa muziki wa kizazi kipya, Dogo Aslay na Malikia wa Mipasho duniani, Khadija Kopa ‘Top In Town’ juzi walipagawisha katika hafla ya shindano la Bibi Bomba iliyofanyika ukumbi...
11 years ago
CloudsFM27 Jun
Fainali ya Bibi Bomba ni leo kuonekana Live Clouds TV, mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13
Fainali ya Bibi Bomba ni leo inafanyika kwenye jumba maeneo ya Mikocheni kuonekana Live Clouds TV,mshindi kunyakua kitita cha shs.Mill.13.
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Hukumu kwa Clouds Radio na TV ukiukwaji wa kanuni za utangazaji kipindi cha Bibi Bomba na njia panda
Mwenyekiti wa Kamati Maudhui Eng. Margaret Munyagi (wa pili kulia), akisoma hukumu dhidi ya Could FM na Clouds TV kuhusu uvunjwaji wa kanuni za utangazaji.. Wengine toka kushoto, Abdul Ngarawa, Joseph Mapunda na Walter Bugoya.(Picha kwa hisani ya Innocent Mungy wa TCRA).
Rulling Clouds Fm Radio by moblog
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzoSMLw9GVHJyVH9ZFxWsDZ73OJmkBRQ2zSc8iBoPQwScJ97WZ2VZ2IkG*YCEfU9a2QtQ8ev2f4xvJQ12TSeTDJ6/LULU.jpg?width=650)
SIRI YA FIGA BOMBA YA LULU YAFICHUKA!
10 years ago
GPLSAKINA APELEKA ZAWADI KWA WATOTO YATIMA
11 years ago
GPLSAKINA WA GLOBAL AADHIMISHA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHANGWE