Blazer ndiye aliyedukua mikutano ya FIFA
Aliyekuwa afisa wa kamati kuu ya FIFA Chuck Blazer ndiye aliyekuwa akishirikianana FBI kuchunguza FIFA kisiri kati ya 1997-2013.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBC
Ex-Fifa man Blazer details bribes
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
FIFA yampiga marufuku Chuck Blazer
10 years ago
StarTV06 Jun
Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA.
Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa .
Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean.
Lakini waendesha mashtaka wa Marekani wanadai ilikuwa hongo, iliyoshawishi kupewa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2010 .
Bwana Mbeki mwenyewe...
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Waziri:Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA
11 years ago
Bongo501 Nov
Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha
5 years ago
GIVEMESPORT24 Feb
Even the best FIFA player in the world knows that FIFA 20 is rubbish