Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BLUE LEAF YA LINDI YASHINDA POOL, KUSHIRIKI KITAIFA KILIMANJARO

Bingwa wa mchezo wa Pool Afrika upande wa mchezaji mmoja-mmoja wanaume (singles), Patrick Nyangusi (kushoto) na Salum Ally wakishindana wakati wa fainali za mchezo huo uliochezwa katika klabu ya Jambo Lee, Kawe,  jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.  Partick Nyangusi alishinda mchezo huo. Mchezaji wa Klabu Pool ya Jaba, Kinondoni Dar es Salaam, Mayaula Mhagama, akicheza wakati wa fainali za mchezo huo ngazi… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Blue Leaf Mabingwa Safari Pool mkoa wa Lindi

KLABU ya mchezo wa Pool ya Blue Leaf Mkoani Lindi imemefanikiwa kutwaa Ubingwa wa fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” uliomalizikamwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/= pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa Lindi kwenye fainali za zinazotarajiwa kufanyika Mkoani Kilimanjaro.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na Bwalo la Polisi Pool Klabu na kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi 400,000/= na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

17 kushiriki Pool Taifa

MIKOA 17 inatarajiwa kushiriki michuano ya Pool Taifa inayotarajia kuanza kutimua vumbi Juni 14 hadi Septemba 14 mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Meneja...

 

10 years ago

GPL

TABORA, KAGERA, ARUSHA, KILIMANJARO NA ILALA ZAPATA MABINGWA SAFARI POOL

Diwani wa Kata ya Vingunguti, Asaa Simba (kulia) akimkabidhi nahodha wa klabu ya Mashujaa, Said Miraji (Babu Jee) pesa taslimu Shilingi 800,000/=  baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa.  Katikati ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Wachezaji wa klabu ya Mashujaa wakishangilia na kitita cha Shilingi 800,000/= baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tabora,Kagera,Arusha,Kilimanjaro na Ilala zapata Mabingwa Safari Pool

FAINALI za mashindano ya Safari Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014”, mikoa ya Tabora ,Kagera, Arusha,Kilimanjaro na Mkoa wa kimichezo wa Ilala zimefanikiwa kupata mabingwa wa mikoa zilizomalizika mwishoni mwa wiki katika mikoa hiyo.
Mkoa wa Tabora mabingwa ni Tiptop Pool Klabu,Kagera ni Bilele Pool Klabu,Arusha ni Ngarenaro Pool Klabu,Kilimanjaro ni Mboya Pool Klabu na Mkoa wa Kimichezo wa Ilala ni Mashujaa Pool Klabu ambavyo kwa kutwaa ubingwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Safari Pool Taifa yafunguliwa rasmi mjini Moshi,Kilimanjaro leo

Katiba Tawala wa Wilaya ya Moshi mjini,Remida Ibrahim(wa pili kulia) akicheza kuashilia uzinduzi wa fainali za mashindano ya Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” yanayofanyika katika Ukumbi wa Kuringe Mkoani Kilimanjaro.Kutoka kushoto ni Katibu wa chama cha Pool Taifa(TAPA), Amos Kafwinga,Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Makamu Mwenyekiti wa TAPA, Fred Mushi. Baadhi ya Wachezaji wa Pool wakiwa na zawadi mbalimbali wakielekea Hospitali ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya nanenane kitaifa Lindi

IMGS7391

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane  kitaifa  kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015.  Kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS7426

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mashine ya kunyonyoa kuku wakati alipotembelea banda la kampuni ya ubia kati ya watanzania na wachina ya  Poly Machinery ya Millennium Busibess Park jijijni Dares salaam, baada ya kufungua maonyesho ya...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inashiriki kwenye maonesho ya Nananane ambayo Kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.Katika maonesho hayo ambayo yanabebwa na Kauli Mbiu ya Matokeo Makubwa Sasa: Tuchague viongozi bora kwa maendeleo ya  kilimo na ufugaji , NSSF itakuwa ikitoa huduma mbalimbali zikiwemo elimu juu ya scheme zake za Wakulima na Wavuvi, kuandikisha wanachama wapya, kutoa taarifa za michango  na kutoa elimu ya mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF kama...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MCHEZO WA DATS YAZINDULIWA MKOANI MOROGORO KITAIFA, MIKOA TISA KUSHIRIKI


 Mwenyekiti wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchazo huo unaoshirikisha mikoa  ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo kesho.

 Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya mazoezi kabla ya kuanza kwa shindano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Magunila ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Maendeleo ya Kilimo yashiriki Nanenane Kitaifa mkoani Lindi

1

Mmoja wa wafanyakazi wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Geofrey Mtawa akizungumza na moja ya wadau waliotembelea banda lao katika maonyesho ya Nanenane.

Na Mwandishi wetu

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania inashiriki maonesho ya kilimo ya Nanenane kitaifa kwa mara ya kwanza mkoani Lindi mwaka huu kwa lengo la kutambulisha huduma zake kwa wadau wake wakuu, wakulima.

Katika maonesho hayo yaliyofunguliwa rasmi jana jumanne na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, benki hiyo inatoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani