17 kushiriki Pool Taifa
MIKOA 17 inatarajiwa kushiriki michuano ya Pool Taifa inayotarajia kuanza kutimua vumbi Juni 14 hadi Septemba 14 mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Meneja...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBLUE LEAF YA LINDI YASHINDA POOL, KUSHIRIKI KITAIFA KILIMANJARO
Bingwa wa mchezo wa Pool Afrika upande wa mchezaji mmoja-mmoja wanaume (singles), Patrick Nyangusi (kushoto) na Salum Ally wakishindana wakati wa fainali za mchezo huo uliochezwa katika klabu ya Jambo Lee, Kawe, jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki. Partick Nyangusi alishinda mchezo huo. Mchezaji wa Klabu Pool ya Jaba, Kinondoni Dar es Salaam, Mayaula Mhagama, akicheza wakati wa fainali za mchezo huo ngazi… ...
11 years ago
MichuziTIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA CHESS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA NCHINI NORWAY
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
TBL yaanika zawadi Safari Lager Pool Taifa
KAMPUNI ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager, jana ilitangaza rasmi zawadi za mashindano ya Pool ngazi ya Taifa ‘Safari Lager National Pool Compionship- 2014- Kilimanjaro.” Meneja wa...
11 years ago
MichuziRUCCO Iringa mabingwa wa Taifa Safari Pool 2014
Na Mwandishi Wetu.Moshi
CHUO cha RUCCO cha mkoani Iringa kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa yaliyoyoshirikisha mabingwa wa Vyuo vya Elimu ya juu kutoka mkoa minane yajulikanayo kama “Safari Pool Higher Learning Competition 2014” mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Aventure Moshi -Kilimanjaro.
RUCCO ilifanikiwa kupata ubingwa huo kwa kukifunga chuo cha St. John cha Dodoma 13-12, na hivyo kuzawadiwa kikombe na fedha taslimu Shilingi 2,500,000/= Nafasi ya pili...

Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dlBAch5Z4Ng/VA107rReh3I/AAAAAAAGhqk/iU4wbz4UmjU/s72-c/MMGM0119.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA MCHEZO WA POOL TAIFA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-dlBAch5Z4Ng/VA107rReh3I/AAAAAAAGhqk/iU4wbz4UmjU/s1600/MMGM0119.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vdirxih-7fc/VA11MJ8EgrI/AAAAAAAGhq0/AVS6kD5vMRc/s1600/MMGM0144.jpg)
10 years ago
MichuziTIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA POOL YAENDELEA KUJIJUA TAYARI KWA MASHINDANO YA AFRIKA
TIMU ya Taifa ya Safari Pool imeonyesha uwezo wa juu baada ya kuzichapa timu za kombania za Mikoa ya kimichezo ya Ilala na Temeke kwa siku tofauti katika kujiweka sawa na mshindano ya Afrika ya mchezo huo yajulikanayo kwa “Safari All Africa Pool Championship”.
Timu ya Safari Pool ilianza mchakato wa kujipima ikiwa ni sehemu ya maandalizi natimu ya Kombania ya Mkoa wa kimichezo wa Ilala ambapo waliibuka na ushindi wa 12-9 katika mchezo uliochezwa Ijumaa octoba 10,2014 kwenye Ukumbi...

MichuziMashindano ya Safari Pool Taifa yafunguliwa rasmi mjini Moshi,Kilimanjaro leo
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Taifa Stars kushiriki Cosafa Cup.
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini.
10 years ago
GPLMAKOCHA WACHAGUA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA TAIFA U-12
Mwamuzi akiwakagua wachezaji. Kikosi cha timu ya Villa Kids kikiwa katika pozi.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania