SAFARI LAGER YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA MCHEZO WA POOL TAIFA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-dlBAch5Z4Ng/VA107rReh3I/AAAAAAAGhqk/iU4wbz4UmjU/s72-c/MMGM0119.jpg)
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habariu (hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi na maandalizi ya fainali za mashindino ya Safari National Pool Competition 2014 zinazotarajiwa kufanyika mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Amos Kafwinga.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akimkabidhi kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Amos Kafwinga zawadi zitakazo kabidhiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
TBL yaanika zawadi Safari Lager Pool Taifa
KAMPUNI ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager, jana ilitangaza rasmi zawadi za mashindano ya Pool ngazi ya Taifa ‘Safari Lager National Pool Compionship- 2014- Kilimanjaro.” Meneja wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GahQTfrEefo/VC6KtwV31xI/AAAAAAAGnhk/5Cwmep6d2xc/s72-c/DSCF9268.jpg)
Safari Lager kudhamini Mashindano ya Mchezo wa Pool Afrika 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-GahQTfrEefo/VC6KtwV31xI/AAAAAAAGnhk/5Cwmep6d2xc/s1600/DSCF9268.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-99R1hyG4tho/U4RgrlKJ-OI/AAAAAAAFlcs/nHVuC0s_sNs/s72-c/MMGN8850.jpg)
Mashindano ya Mchezo wa Safari Lager National Pool Championship 2014 yazinduliwa leo jijini Dar
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo huo Taifa (TAPA), Amosi Kafwinga amesema mashindano hayo ambayo kwa ngazi ya taifa yatamalizika mwezi Septemba 14, mwaka huu.
Kafwinga amesema fainali za taifa za mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-u1qQby7lzpg/VKxglk947LI/AAAAAAAG7wg/MDI0-uKW3cI/s72-c/unnamedn1.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI UPATIKANAJI WA FOMU ZA PROGAMU YA SAFARI LAGER WEZESHWA MSIMU IV
Fomu hizo zichukuliwe, zijazwe na kurejeshwa kwenye vituo...
11 years ago
MichuziSAFARI LAGER YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VYUO VINAVYOSHIRIKI FAINALI ZA HIGHER LEARNING POOL COMPETITION 2014 JIJINI DAR
11 years ago
MichuziRUCCO Iringa mabingwa wa Taifa Safari Pool 2014
CHUO cha RUCCO cha mkoani Iringa kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa yaliyoyoshirikisha mabingwa wa Vyuo vya Elimu ya juu kutoka mkoa minane yajulikanayo kama “Safari Pool Higher Learning Competition 2014” mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Aventure Moshi -Kilimanjaro.
RUCCO ilifanikiwa kupata ubingwa huo kwa kukifunga chuo cha St. John cha Dodoma 13-12, na hivyo kuzawadiwa kikombe na fedha taslimu Shilingi 2,500,000/= Nafasi ya pili...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VhK-pJyqJrU/UwxVjmf3CZI/AAAAAAAFPaM/UOC4dvTernM/s72-c/IMG_0030.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI BAA 10 ZILIZOINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA MKOA WA MBEYA KWA MWAKA 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-VhK-pJyqJrU/UwxVjmf3CZI/AAAAAAAFPaM/UOC4dvTernM/s1600/IMG_0030.jpg)
Shindano hili linalofanyika kila mwaka, linafanyika mwaka huu kwa mara ya saba mfululizo na litashirikisha mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar Es Salaam. Tangu lilipoanzishwa mwaka 2008, shindano hili limekuwa na mvuto wa kipekee kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-enUrbINwEqA/VRK7cC3-dHI/AAAAAAAHNIQ/QL9EFp_U5GI/s72-c/unnamedmm.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"
![](http://2.bp.blogspot.com/-enUrbINwEqA/VRK7cC3-dHI/AAAAAAAHNIQ/QL9EFp_U5GI/s1600/unnamedmm.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ReuTOx5h8cE/VFICIU8hWPI/AAAAAAAGuJs/CacIWcGGbnc/s72-c/DSCF0081.jpg)
SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ReuTOx5h8cE/VFICIU8hWPI/AAAAAAAGuJs/CacIWcGGbnc/s1600/DSCF0081.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D0YseoIFta0/VFICIJz6vwI/AAAAAAAGuJo/g6I5j5mxTVU/s1600/DSCF0093.jpg)