SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI UPATIKANAJI WA FOMU ZA PROGAMU YA SAFARI LAGER WEZESHWA MSIMU IV
![](http://3.bp.blogspot.com/-u1qQby7lzpg/VKxglk947LI/AAAAAAAG7wg/MDI0-uKW3cI/s72-c/unnamedn1.jpg)
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza rasmi upatikanaji wa fomu za programu yake ya Safari Lager Wezeshwa kwa msimu wa nne kwa wajasiriamali wadogo wadogo na wa kati Nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa bia ya Safari Lager Bi. Edith Bebwa alifafanuwa ya kwamba “ Fomu za ushiriki zitapatikana kwenye mabohari ya TBL, Mawakali wa kusambaza bia, kwenye mtandao wa www.wezeshwa.co.tz .
Fomu hizo zichukuliwe, zijazwe na kurejeshwa kwenye vituo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ReuTOx5h8cE/VFICIU8hWPI/AAAAAAAGuJs/CacIWcGGbnc/s72-c/DSCF0081.jpg)
SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ReuTOx5h8cE/VFICIU8hWPI/AAAAAAAGuJs/CacIWcGGbnc/s1600/DSCF0081.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D0YseoIFta0/VFICIJz6vwI/AAAAAAAGuJo/g6I5j5mxTVU/s1600/DSCF0093.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ*WLqnQk9ZUC*S8PmE1ZdZ-o1WkwY4etJZDlXylVu881op2KH1b7QOnqXhcFoo*S5aH4yZBN3zMB1m-Asd9KJoK/wezeshwaemailer2.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-enUrbINwEqA/VRK7cC3-dHI/AAAAAAAHNIQ/QL9EFp_U5GI/s72-c/unnamedmm.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"
![](http://2.bp.blogspot.com/-enUrbINwEqA/VRK7cC3-dHI/AAAAAAAHNIQ/QL9EFp_U5GI/s1600/unnamedmm.jpg)
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA YA TBL
10 years ago
MichuziWajasiliamali wa Safari Lager Wezeshwa wakabidhiwa Ruzuku zao jijini Dar
10 years ago
Michuzi07 Nov
WALIOWEZESHWA NA TBL KUPITIA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA WAPATA MAFANIKIO MAKUBWA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VhK-pJyqJrU/UwxVjmf3CZI/AAAAAAAFPaM/UOC4dvTernM/s72-c/IMG_0030.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI BAA 10 ZILIZOINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA MKOA WA MBEYA KWA MWAKA 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-VhK-pJyqJrU/UwxVjmf3CZI/AAAAAAAFPaM/UOC4dvTernM/s1600/IMG_0030.jpg)
Shindano hili linalofanyika kila mwaka, linafanyika mwaka huu kwa mara ya saba mfululizo na litashirikisha mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar Es Salaam. Tangu lilipoanzishwa mwaka 2008, shindano hili limekuwa na mvuto wa kipekee kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dlBAch5Z4Ng/VA107rReh3I/AAAAAAAGhqk/iU4wbz4UmjU/s72-c/MMGM0119.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA MCHEZO WA POOL TAIFA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-dlBAch5Z4Ng/VA107rReh3I/AAAAAAAGhqk/iU4wbz4UmjU/s1600/MMGM0119.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vdirxih-7fc/VA11MJ8EgrI/AAAAAAAGhq0/AVS6kD5vMRc/s1600/MMGM0144.jpg)
10 years ago
MichuziProgramu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne yazinduliwa mkoani Morogoro