Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA YA TBL

 Jacquline Shija Mazemle, aliyewezeshwa na TBL na kufanikiwa kuanzisha mghahawa maarufu wa FACEBOOK, ulioko karibu na Chuo Kikuu cha Kampala, Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Akiandaa chakula na wenzake Ramadhan Seleman kushoto na Hans Shija
 Akiwahudumia na wateja wa Facebook
 Dorren Asey aliyewezeshwa na TBL kutengeneza mikate, keki na maandazi kupitia kampuni yake ya Dee Bakery,Doreen akiandaa mikate.HABARI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WALIOWEZESHWA NA TBL KUPITIA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA WAPATA MAFANIKIO MAKUBWA

 Valerian Luzangi (kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha kuzalisha shampoo za binadamu na wanyama hasa mbwa cha L & V Intergrated Firm akimuonesha Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi,  shampoo  ambayo iko tayari kuuzwa. Tbl kupitia Promosheni ya Safari Lager Wezeshwa ilimpatia  mfanyabiashara huyo chupa 20,000 za kuwekea shampoo. Kiwanda hicho kipo Mikocheni Dar es Salaam. Valerian Luzangi (kulia) ambaye ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha kuzalisha shampoo za...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji wa programu hiyo, Joseph Migunda. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwaonyesha kipeperushi kinachoonyesha kitika cha shilingi 2200,000 000/= zitakazogawiwa kwa wajasiliamali wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI UPATIKANAJI WA FOMU ZA PROGAMU YA SAFARI LAGER WEZESHWA MSIMU IV

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza rasmi upatikanaji wa fomu za programu yake ya Safari Lager Wezeshwa kwa msimu wa nne kwa wajasiriamali wadogo wadogo na wa kati Nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa bia ya Safari Lager Bi. Edith Bebwa alifafanuwa ya kwamba “ Fomu za ushiriki zitapatikana kwenye mabohari ya TBL, Mawakali wa kusambaza bia, kwenye mtandao wa www.wezeshwa.co.tz .
Fomu hizo zichukuliwe, zijazwe na kurejeshwa kwenye vituo...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

Wajasiliamali wa Safari Lager Wezeshwa wakabidhiwa Ruzuku zao jijini Dar

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(kulia) akizungumza na wajasiliamali pamoja na wakazi wa jijini Dar es Salaam waliojitokeza kwenye makabidhiano ya Ruzuku za Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne yaliyofanyika Viwanja vya Leaders mwishoni mwa wiki.Kutoka kushoto ni Meneja mahusiano na mawasiliano Tbl, Emma Urio,Mkurugenzi wa taasisi ya wataalamu wa biashara(TBDS),Joseph Migunda na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(katikati)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yaanika zawadi Safari Lager Pool Taifa

KAMPUNI ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager, jana ilitangaza rasmi zawadi za mashindano ya Pool ngazi ya Taifa ‘Safari Lager National Pool Compionship- 2014- Kilimanjaro.” Meneja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne yazinduliwa mkoani Morogoro

Balozi wa Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne, Samira Kadelwa akigawa vipeperushi kwa wajasilamali mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wakati wa uzinduzi wa Proramu hiyo mkoani humo uliofanyika jana.Jumla ya milioni 220 zinatarajiwa kugawiwa kwa wajasiliamali kwa awamu hii ya nne chini ya bia ya Safari Lager.Balozi wa Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne, Catherine Oden akigawa vipeperushi kwa wajasilamali mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wakati wa uzinduzi wa Proramu hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"

Meneja Mauzo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa ukanda wa Temeke, Patrick Swai akizungumza na waandishi wa habari (hawapi pichani)wakati akizitangaza bar tano zilizofanikiwa kuingia fainali kwenye kinyang’anyiro cha shindano la uchomaji nyama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2015”,kwa mkoa wa Dar es salaam.

 

10 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWA TBL

 Mkulima wa Shayiri akionesha moja ya Ghala lake (Stoo) kwa ajili ya kuhifadhia zana mbalimbali za kilimo ikiwamo utunzaji wa pembejeo, ambapo jengo hilo amelijenga kutokana na fedha za Shayiri.

Baadhi ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa  Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha.
Mkulima wa Shayiri wilayani Monduli Meporoo Losulu akionesha Trekta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani