Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne yazinduliwa mkoani Morogoro
Balozi wa Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne, Samira Kadelwa akigawa vipeperushi kwa wajasilamali mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wakati wa uzinduzi wa Proramu hiyo mkoani humo uliofanyika jana.Jumla ya milioni 220 zinatarajiwa kugawiwa kwa wajasiliamali kwa awamu hii ya nne chini ya bia ya Safari Lager.
Balozi wa Programu ya Safaari Lager Wezeshwa msimu wa nne, Catherine Oden akigawa vipeperushi kwa wajasilamali mbalimbali wa Mkoa wa Morogoro wakati wa uzinduzi wa Proramu hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ReuTOx5h8cE/VFICIU8hWPI/AAAAAAAGuJs/CacIWcGGbnc/s72-c/DSCF0081.jpg)
SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ReuTOx5h8cE/VFICIU8hWPI/AAAAAAAGuJs/CacIWcGGbnc/s1600/DSCF0081.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D0YseoIFta0/VFICIJz6vwI/AAAAAAAGuJo/g6I5j5mxTVU/s1600/DSCF0093.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-u1qQby7lzpg/VKxglk947LI/AAAAAAAG7wg/MDI0-uKW3cI/s72-c/unnamedn1.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI UPATIKANAJI WA FOMU ZA PROGAMU YA SAFARI LAGER WEZESHWA MSIMU IV
Fomu hizo zichukuliwe, zijazwe na kurejeshwa kwenye vituo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ*WLqnQk9ZUC*S8PmE1ZdZ-o1WkwY4etJZDlXylVu881op2KH1b7QOnqXhcFoo*S5aH4yZBN3zMB1m-Asd9KJoK/wezeshwaemailer2.png)
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA YA TBL
10 years ago
MichuziWajasiliamali wa Safari Lager Wezeshwa wakabidhiwa Ruzuku zao jijini Dar
10 years ago
Michuzi07 Nov
WALIOWEZESHWA NA TBL KUPITIA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA WAPATA MAFANIKIO MAKUBWA
11 years ago
Dewji Blog25 May
Mashindano ya DATS yazinduliwa mkoani Morogoro, mikoa tisa kushiriki
Mwenyekiti wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchezo huo unaoshirikisha mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo kesho.
Mwenyekiti huyo wa Dats akizindua mchezo huo ili kuruhusu pambano kuanza rasmi.
![washiriki nyingine](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/washiriki-nyingine.jpg)
Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya...
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA MCHEZO WA DATS YAZINDULIWA MKOANI MOROGORO KITAIFA, MIKOA TISA KUSHIRIKI
Mwenyekiti wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchazo huo unaoshirikisha mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo kesho.
Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya mazoezi kabla ya kuanza kwa shindano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Magunila ...
10 years ago
Michuzi17 Apr
KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA