Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUCCO Iringa mabingwa wa Taifa Safari Pool 2014

Na Mwandishi Wetu.Moshi
CHUO cha RUCCO cha mkoani Iringa kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa yaliyoyoshirikisha mabingwa wa Vyuo vya Elimu ya juu kutoka mkoa minane yajulikanayo kama “Safari Pool Higher Learning Competition 2014” mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Aventure Moshi -Kilimanjaro.
RUCCO ilifanikiwa kupata ubingwa huo kwa kukifunga chuo cha St. John cha Dodoma 13-12, na hivyo kuzawadiwa kikombe na fedha taslimu Shilingi 2,500,000/= Nafasi ya pili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MOROGORO, IRINGA, MBEYA WAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL

Mweka hazina wa chama cha pool taifa (TAPA), Zaholo Ligalu (kushoto), akimkabidhi nahodha wa klabu ya Anatori ya Morogoro  Shilingi 800/000/= baada ya kuibuka mabingwa. Baadhi ya wachezaji wa pool wa klabu ya Anatory ya Morogoro wakishangilia fedha za ushindi. KLABU za Anatory ya Morogoro, Ngija Masters ya Iringa na Break Point ya Mbeya… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mabingwa Safari Pool Higher Learning wapatikana Iringa Mbeya.

Meneja mauzo wa Tbl Iringa, Philip Kubecha(kushoto) akimkabidhi kikombe nahodha wa timu ya chuo cha RUCCO, Said Mohamed mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa mashindano ya Safari Pool Higher Learning Competition 2014 yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Katikati ni Meneja mauzo msaidizi Tbl Iringa, Christopher Kifunda. Meneja mauzo wa Tbl Iringa, Philip Kubecha(kushoto) akimkabidhi pesa taslimu shilingi 500,000/= nahodha wa timu ya chuo cha RUCCO, Said Mohamed mara baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

Topland Kinondoni mabingwa Safari Pool 2014

KLABU ya Topland ya Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni yenye makazi Magomeni jijini Dar es Slaaam imefanikiwa kutetea ubingwa wa ke wa fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani Kilimanjaro kwa kuifunga timu ya Anatory ya Mkoani Morogoro 13-3.
Timu ya Topland kwa kutwaa ubingwa huo ilizawadiwa Kikombe,Medali za dhahabu na pesa taslimu Shilingi 5,000 000/= wakati mshindi wa pili Anatory ya Morogoro walizawadiwa pesa taslimu Shilingi 2,500 000/= ...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA MCHEZO WA POOL TAIFA 2014

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habariu (hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi na  maandalizi ya fainali za mashindino ya Safari National Pool Competition 2014 zinazotarajiwa kufanyika mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Amos Kafwinga.Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akimkabidhi kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Amos Kafwinga zawadi zitakazo kabidhiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Temeke,Dodoma zapata mabingwa wa Safari Pool

FAINALI za mashindano ya Safari Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014”, mkoa wa kimichezo wa Temeke jijini Dar es Saalaam na Dodoma zimefanikiwa kupata mabingwa wa mikoa mwishoni mwa wiki.
Mkoa wa kimichezo wa Temeke mabingwa ni klabu ya Mpo Afrika walifanikiwa kutetea ubingwa wao wa mwaka jana wakati mkoani Dodoma Klabu ya Delux ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa huo.
Klabu ya Mpo Afrika na Delux kwa kutwaa ubingwa huo zilizawadiwa pesa taslimu...

 

10 years ago

GPL

TEMEKE, DODOMA ZAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL

Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wa pili kulia), akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa Mpo Afrika, Charles Venance. Kulia ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, na kocha wa timu ya Taifa, Denis Rungu. Baadhi ya wachezaji wa Mpo Afrika na mashabiki  wakishangilia na kombe waliloshinda. KATIKA mchakato wa fainali… ...

 

11 years ago

Michuzi

Top Land Mabingwa Safari Pool Kinondoni

MABINGWA watetezi klabu ya mchezo wa Pool ya Top Land ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni jijini Dar es Salaam imemefanikiwa kutetea Ubingwa wake katika fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” kwa kuwafunga timu ya klabu ya Meeda 13-5, yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/ = pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni kwenye fainali za kitaifa zinazotarajiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Blue Leaf Mabingwa Safari Pool mkoa wa Lindi

KLABU ya mchezo wa Pool ya Blue Leaf Mkoani Lindi imemefanikiwa kutwaa Ubingwa wa fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” uliomalizikamwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/= pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa Lindi kwenye fainali za zinazotarajiwa kufanyika Mkoani Kilimanjaro.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na Bwalo la Polisi Pool Klabu na kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi 400,000/= na...

 

10 years ago

Michuzi

Tabora,Kagera,Arusha,Kilimanjaro na Ilala zapata Mabingwa Safari Pool

FAINALI za mashindano ya Safari Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014”, mikoa ya Tabora ,Kagera, Arusha,Kilimanjaro na Mkoa wa kimichezo wa Ilala zimefanikiwa kupata mabingwa wa mikoa zilizomalizika mwishoni mwa wiki katika mikoa hiyo.
Mkoa wa Tabora mabingwa ni Tiptop Pool Klabu,Kagera ni Bilele Pool Klabu,Arusha ni Ngarenaro Pool Klabu,Kilimanjaro ni Mboya Pool Klabu na Mkoa wa Kimichezo wa Ilala ni Mashujaa Pool Klabu ambavyo kwa kutwaa ubingwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani