Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blue Leaf Mabingwa Safari Pool mkoa wa Lindi

KLABU ya mchezo wa Pool ya Blue Leaf Mkoani Lindi imemefanikiwa kutwaa Ubingwa wa fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” uliomalizikamwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/= pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa Lindi kwenye fainali za zinazotarajiwa kufanyika Mkoani Kilimanjaro.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na Bwalo la Polisi Pool Klabu na kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi 400,000/= na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BLUE LEAF YA LINDI YASHINDA POOL, KUSHIRIKI KITAIFA KILIMANJARO

Bingwa wa mchezo wa Pool Afrika upande wa mchezaji mmoja-mmoja wanaume (singles), Patrick Nyangusi (kushoto) na Salum Ally wakishindana wakati wa fainali za mchezo huo uliochezwa katika klabu ya Jambo Lee, Kawe,  jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.  Partick Nyangusi alishinda mchezo huo. Mchezaji wa Klabu Pool ya Jaba, Kinondoni Dar es Salaam, Mayaula Mhagama, akicheza wakati wa fainali za mchezo huo ngazi… ...

 

11 years ago

Michuzi

Top Land Mabingwa Safari Pool Kinondoni

MABINGWA watetezi klabu ya mchezo wa Pool ya Top Land ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni jijini Dar es Salaam imemefanikiwa kutetea Ubingwa wake katika fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” kwa kuwafunga timu ya klabu ya Meeda 13-5, yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/ = pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni kwenye fainali za kitaifa zinazotarajiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Topland Kinondoni mabingwa Safari Pool 2014

KLABU ya Topland ya Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni yenye makazi Magomeni jijini Dar es Slaaam imefanikiwa kutetea ubingwa wa ke wa fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani Kilimanjaro kwa kuifunga timu ya Anatory ya Mkoani Morogoro 13-3.
Timu ya Topland kwa kutwaa ubingwa huo ilizawadiwa Kikombe,Medali za dhahabu na pesa taslimu Shilingi 5,000 000/= wakati mshindi wa pili Anatory ya Morogoro walizawadiwa pesa taslimu Shilingi 2,500 000/= ...

 

10 years ago

Michuzi

Temeke,Dodoma zapata mabingwa wa Safari Pool

FAINALI za mashindano ya Safari Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014”, mkoa wa kimichezo wa Temeke jijini Dar es Saalaam na Dodoma zimefanikiwa kupata mabingwa wa mikoa mwishoni mwa wiki.
Mkoa wa kimichezo wa Temeke mabingwa ni klabu ya Mpo Afrika walifanikiwa kutetea ubingwa wao wa mwaka jana wakati mkoani Dodoma Klabu ya Delux ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa huo.
Klabu ya Mpo Afrika na Delux kwa kutwaa ubingwa huo zilizawadiwa pesa taslimu...

 

10 years ago

GPL

TEMEKE, DODOMA ZAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL

Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wa pili kulia), akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa Mpo Afrika, Charles Venance. Kulia ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, na kocha wa timu ya Taifa, Denis Rungu. Baadhi ya wachezaji wa Mpo Afrika na mashabiki  wakishangilia na kombe waliloshinda. KATIKA mchakato wa fainali… ...

 

10 years ago

GPL

MOROGORO, IRINGA, MBEYA WAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL

Mweka hazina wa chama cha pool taifa (TAPA), Zaholo Ligalu (kushoto), akimkabidhi nahodha wa klabu ya Anatori ya Morogoro  Shilingi 800/000/= baada ya kuibuka mabingwa. Baadhi ya wachezaji wa pool wa klabu ya Anatory ya Morogoro wakishangilia fedha za ushindi. KLABU za Anatory ya Morogoro, Ngija Masters ya Iringa na Break Point ya Mbeya… ...

 

11 years ago

Michuzi

RUCCO Iringa mabingwa wa Taifa Safari Pool 2014

Na Mwandishi Wetu.Moshi
CHUO cha RUCCO cha mkoani Iringa kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa yaliyoyoshirikisha mabingwa wa Vyuo vya Elimu ya juu kutoka mkoa minane yajulikanayo kama “Safari Pool Higher Learning Competition 2014” mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Aventure Moshi -Kilimanjaro.
RUCCO ilifanikiwa kupata ubingwa huo kwa kukifunga chuo cha St. John cha Dodoma 13-12, na hivyo kuzawadiwa kikombe na fedha taslimu Shilingi 2,500,000/= Nafasi ya pili...

 

11 years ago

Michuzi

Mabingwa Safari Pool Higher Learning wapatikana Iringa Mbeya.

Meneja mauzo wa Tbl Iringa, Philip Kubecha(kushoto) akimkabidhi kikombe nahodha wa timu ya chuo cha RUCCO, Said Mohamed mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa mashindano ya Safari Pool Higher Learning Competition 2014 yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Katikati ni Meneja mauzo msaidizi Tbl Iringa, Christopher Kifunda. Meneja mauzo wa Tbl Iringa, Philip Kubecha(kushoto) akimkabidhi pesa taslimu shilingi 500,000/= nahodha wa timu ya chuo cha RUCCO, Said Mohamed mara baada ya...

 

10 years ago

GPL

TABORA, KAGERA, ARUSHA, KILIMANJARO NA ILALA ZAPATA MABINGWA SAFARI POOL

Diwani wa Kata ya Vingunguti, Asaa Simba (kulia) akimkabidhi nahodha wa klabu ya Mashujaa, Said Miraji (Babu Jee) pesa taslimu Shilingi 800,000/=  baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa.  Katikati ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Wachezaji wa klabu ya Mashujaa wakishangilia na kitita cha Shilingi 800,000/= baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani