Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bob Junior atoa sababu ya nyimbo zake za sasa kushindwa kufika mbali

Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Records, Bob Junior amefunguka na kutoa sababu ya kwanini nyimbo zake nyingi za sasa kutokuwa na uhai mrefu kama za mwanzo. Bob Junior Bob Junior aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Oyoyo’ ameiambia Bongo5 kuwa, muziki wake kwa sasa hivi unaharibiwa na mitandao ya kijamii. “Nyimbo nyingi hazi-play sana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully, Ebby Sykes

Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo. Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari, ameelezea sababu zilizomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi. “Watu waliniona niko zanzibar lakini […]

 

10 years ago

Bongo5

Geez Mabovu ameacha deni kwa vituo vya redio, kucheza nyimbo zake sasa hazililipi

Geez Mabovu amefariki katika kipindi ambacho kwa asilimia kubwa alikuwa amepotea kwenye masikio ya wengi. Na mara nyingi sababu za kupotea kwenye masikio ya watu ni kutochezwa kwa nyimbo za msanii katika vituo vya redio. Kwahiyo haimaanishi kuwa kupotea kwa msanii kwenye masikio ya watu kunatokana na ukimya wake mwenyewe bali ni kutopata nafasi ya […]

 

10 years ago

Vijimambo

RAY KIGOSI ATOA SABABU INAYOMFANYA ASHINDWE KUOA HADI SASA


Staa mkongwe wa filamu za Bongo, Vincent “Ray” Kigosi ametoa sababu ya kuendelea kuwa single licha ya kuwa anaendelea kuongeza idadi ya birthday alizosheherekea toka kuzaliwa kwake.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

 

9 years ago

Mtanzania

Bob Junior: Tutaonana baada ya uchaguzi

Bob JuniorNA THERESIA GASPER,

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika kampeni za wagombea urais.

“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema

Bob Junior mkali wa wimbo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani