BOB JUNIOR LIVE NA ‘MCHEPUKO’
![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFmU63pMH-jJ1C7pj6zq17wXsKHkMTPY8xsk*qA8jg6H*PolcyFrYzcU7D7pvngnka*nVpKGCLH4un9O4SGN*q6/bob.jpg)
Stori: Imelda Mtema Mchepuko? Baada ya kuachana na mkewe, Halima Ally, staa wa Nyota ya Chipsi Mayai na Prodyuza wa Sharobaro Records, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’ amenaswa live na mrembo anayejulikana kwa jina la Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ambaye ni msanii wa filamu, wakiwa katika mahaba nipoteze kama ndege ya Malaysia. Staa wa Nyota ya Chipsi Mayai , ‘Bob Junior’ akiangusha busu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTuAklxcRvbdmrRonStZWcDNJ*FG8*GiuDSsOMkMbfjPm51n5eGEItlSHql5p4JqHT4TglxZHpZ2aHSjdXIDWNnT/FRONT.jpg)
WEMA, BOB JUNIOR LIVE, WATUMIA DAKIKA 10 KUONYESHANA MAHABA
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FoGbMVzrjR4-L3zSlYTk6hQJNRITD44XM03wHW2Ijtyn2A0-37USIfAzDgnlCCzhXcbNDMnaFJe-GVWELp-ZTuu/sabby1.jpg)
SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI
10 years ago
GPL27 Aug
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUSKr9rQCqVin3qqtUI-HSbNvSo3yEJGu8mcN15oe-QmOYxJeYXVZto86knOCnT1UMEBBLbRHkX2JcUxmVM-aVut/bob.jpg?width=650)
MTOTO AREJESHA NDOA YA BOB JUNIOR
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Bob Junior: Tutaonana baada ya Oktoba 25
NA THERESIA GASPER,
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika
kampeni za wagombea urais.
“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema
Bob Junior mkali wa wimbo wa...