Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya Mikopo yakusanya bilioni 49.7/-

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekusanya zaidi ya Sh bilioni 49.7 ya mikopo kutoka kwa wanufaika wa mikopo hiyo hadi kufikia Aprili 30, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaiongeza Bodi ya Mikopo Sh132 bilioni

Zaidi ya wanafunzi 52,000 wa mwaka wa kwanza watanufaika na mkopo wa elimu ya juu baada ya Serikali kuongeza fedha kiasi cha Sh132 bilioni, kwa ajili ya kugharamia masomo yao kwa mwaka wa masomo wa 2015/16.

 

10 years ago

GPL

BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAELEZEA UREJESHWAJI WA MIKOPO

Mkurugenzi wa Habari Elimu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Cosmas Mwaisogwa (katikati) akizungumza jambo, kulia ni Afisa Mwandamizi wa Elimu Bodi ya Elimu ya Juu, Veneranda Malima na kushoto ni Juma Chagonja, Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo ya Elimu ya Juu. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.…

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (hawapo pichani)wakati alipofanya ziara Leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alipofanya ziara katika ofisi zao  zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015. 

Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015. 

Kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Bw. George Nyatega
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...

 

10 years ago

Mwananchi

Uhamiaji yakusanya zaidi ya Sh44 bilioni

Idara ya uhamiaji imekusanya zaidi ya Sh44 bilioni kutoka katika vyanzo vyake kati ya Julai na Novemba 2014 na kuvuka malengo kwa asilimia 13.6.

 

10 years ago

Michuzi

TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...

 

10 years ago

Habarileo

Bodi ya Mikopo na CAG kushirikiana

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas MwaisobwaBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepanga kushirikiana na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuhakikisha kunakuwapo uwajibikaji wa waajiri katika urejeshaji wa mikopo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani