Boko Haram wamewaua watu 1500
Shirika la Amnesty International linasema kuwa takriban watu 1500 wameuawa katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu Kaskazini mashariki mwa Nigeria na kundi la Boko Haram
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Boko Haram lawaua watu 20 Nigeria
Watu 20 wameuawa mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulizi mapya yanayoendeshwa na kundi la Boko Haram katika eneo hilo.
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Watu 39 wauawa na Boko Haram-Nigeria
Utawala wa jimbo la Borno lililoko Kaskazini mwa Nigeria umesema watu 39 wameuawa katika shambulizi lililofanywa mjini Konduga
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Boko Haram yaua watu 40 Chad
Maafisa wa hospitalini wanasema zaidi ya watu 40 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa kufuatia msururu wa milipuko nchini Chad.
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Boko Haram lawaua watu 10 Cameroon
Takriban watu 10 wameuawa kazkazini mwa Cameroon katika shambulio baya lililotekelezwa na kundi hatari la kiislamu la Boko Haram.
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Watu 18 wauawa na Boko Haram-Nigeria
Wapiganaji wa Kiislamu nchini NIgeria wamekishambulia kijiji Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo na kuwaua kiasi ya watu 18.
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Boko Haram lawaua watu 38 nchini Niger
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram kutoka Nigeria wamewaua watu 38 katika shambulio katika vijiji viwili kusini mwa Niger.
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Boko Haram wazuia watu kuzika maiti
Seneta Ahmed Zanna ameambia BBC kwamba miili imetapakaa katika barabara za mji wa Bama ambao Boko Haram imeuteka.
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Boko Haram ‘wameua watu 380’ Cameroon
Shirika la Amnesty International limesema watu 380 wameuawa na wapiganaji wa Boko Haram kaskazini mwa Cameroon tangu Desemba.
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Boko Haram ladaiwa kuwaua watu laki moja
Sasa imebainika kuwa wanamgambo wa kiislamu kazkazini mwa Nigeria waliwaua zaidi ya watu laki moja katika jimbo la Borno.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania