Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomoabomoa Kurasini jijini Dar wananchi kutaharuki

Dereva wa  Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo)  kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yao Mwenyekiti wa Serikaili za Mtaa Shimo la Udonge Jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari Mkazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam Bi Nyakomba Selemani akiwa mbele ya gofu la nyumba yake akionyesha Stop Oda lakini imebomolewa  Wahanga wakijaribu kupakia vitu katika gari tayari...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MTEMVU ATATUA MGOGORO YA MIKATABA KWA WANANCHI WA MTA WA CHAUREMBO, KURASINI JIJINI DAR

 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi wa kijiji Chawavuvi Mta wa Chaurembo uliyopo Kurasini baada ya kutokea mwekezaji na kuwa na sinto fahamu ya muda mrefu na kupelekea wananchi kufanya maandamano ya amani hadi Ofisi za Serikali ya Mta huo na kumlazimu Mbunge kuingilia kati mgogoro huo  Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akipitia moja ya mkataba waliyoandikiwa wananchi hao na mwekezaji ambayo wananchi hao...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI CHUO CHA UHASIBU KURASINI JIJINI DAR

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam. Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu...

 

9 years ago

Michuzi

JK AFUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kukagua terminal ya mbolea ya kampuni ya...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbolea...

 

9 years ago

Michuzi

bomoabomoa ya hiyari yaendelea bonde la msimbazi jijini Dar es salaam

 Baadhi ya wananchi wakiwa wamesha bomoa nyumba zao zilizo katika Bonde la mto Msimbazi, mtaa wa Magomeni Sunna jijini Dar es salaam, kabla ya serikali kuanza kuzibomoa nyumba hizo ifikapo tarehe 5 januari 2016

 

9 years ago

Dewji Blog

HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!

PIX 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa  ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam.  Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali  wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile.

PIX 2

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA IDARA YA UHAMIAJI KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM — AWATAKA WATENDAJI KWENDA NA KASI MPYA

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa  ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam.  Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali  wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji, wakati...

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA KITUO CHA TANESCO KURASINI, DAR

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani