BONANZA MASAUNI CUP LILIVYOFANA ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Abdalla Bulembo wa kwanza kushoto Mbunge wa Kikwajuni Mhe Hamad Masauni na Kada wa CCM Abass Bahari wakijiandaa kuelekea kukagua timu hizo wakati wa Bonaza hilo linaloendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja usiku kwa micxhezo miwi kila siku.
Kizazaa golini kwa timu ya Rahaleo
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akimpita mchezaji wa timu ya Rahaleo akiwa chini, wakati wa mchezo wao wa Bonaza Kombe la Masauni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Bonanza la Masauni Cup lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...
10 years ago
MichuziBonaza la Masauni Cup Lazidi kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka Zanzibar
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup
10 years ago
VijimamboBONAZA MASAUNI CUP
10 years ago
VijimamboTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup
10 years ago
MichuziTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja
10 years ago
MichuziBonaza la Masauni Cup Lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja Usiku Huu
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2--0
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
onaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0