Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA IDDI PIALALA AIBEBA KIWANGWA BAGAMOYO KWA KUNYAKUWA UBINGWA WA KANDA YA MASHARIKI

Bondia Iddi Pialali kushoto akipambana na Fadhili Mkunda wakati wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa kanda ya masharika mpambano uliofanyika Kiwangwa Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Pialali alishinda kwa K,o ya raundi ya tano na kutwaa ubingwa huo Bondia Iddi Pialali kushoto akipambana na Fadhili Mkunda wakati wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa kanda ya masharika mpambano uliofanyika Kiwangwa Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Pialali alishinda kwa K,o ya raundi ya tano na kutwaa ubingwa huo Bondia Iddi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TASWIRAZZZ JIONI YA LEO MAENEO YA KIWANGWA,BAGAMOYO

 Kamera ya Globu ya Jamii,imefanikiwa kuzinasa taswirazz hizi jioni ya leo katika mji wa Kiwangwa,Bagamoyo Mkoani Pwani.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa kugombea ubingwa wa U.B.O Africa mpambano uliofanyika jumamosi ya jana Class alinyakuwa ubingwa huo kwa kushinda kwa Point na sasa Class anashikilia mikanda miwili ya ubingwa wa Africa W.P.B.F na U.B.O Africa Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' askiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Africa wa U.B.O na WPBFBondia Fadhili Majiha kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki yatoa msaada kwa Kituo Cha Watoto Yatima


Mwakilishi wa Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Vaolet Eseko akimkabidhi msaada kwa niaba ya Mkuu wa Kanda hiyo Mhandisi Lawi Odiero wa Vitakasa Mikono pamoja bidhaa za vyakula Mkurugenzi wa Kituo Cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo Boko Jijini Dar es Salaam.

**********************************

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo...

 

10 years ago

GPL

MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP) WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAHABARI KANDA YA MASHARIKI

Mtoa mada Kenny Ngomuo akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Kenny Ngomuo. Wanahabari wakifuatilia mafunzo hayo.…

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA

Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la ubingwa wa ngumi za kulipwa unaotambuliwa na IBF,Bondia Bintou alimpiga na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic kwa K.O katika raundi ya 3,. Pambano hilo lilionyeshwa Live katika TV channel ya euro sport na kutazamwa na maelfu ya watu wakishuhudia bondia wa kike mwafrika akirusha ngumi kali kuliko radi.
Bintou Schmill (30) aka The Voice...

 

10 years ago

GPL

BONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA

Bintou Schmill a.k.a 'The Voice' baada ya kumchapa Mirjana Vujic kwa K.O. Bintou akizichapa na…

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL YA WAGALAGAZA ASTON VILLA NA KUNYAKUWA KOMBE LA FA KWA MARA YA 12


Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza katika dakika ya 40.
Walcott akishangilia bao hilo.
Arsenal wakisherehekea ubingwa wao wa FA.
Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza katika…
Mabingwa mara 12 wa Kombe la FA, Arsenal baada ya ushindi wa leo dhidi ya Aston Villa.
Arsenal wakisherehekea ubingwa wao wa FA.
Alexis Sanchez (kushoto) akipiga shuti lililojaa wavuni na kuiandikia Arsenal bao la pili.
Per Mertesacker akipiga mpira wa kichwa uliozaa bao la tatu kwa Arsenal.
Olivier Giroud...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani