Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boti la wakimbizi lazama Ziwa Albert

Miili 25 imepatikana katika Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kuzama

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Boti la abiria lazama ziwa Victoria Kenya

Boti moja iliyokuwa imebeba abiria 23 imegongana na mtumbwi wa wavuvi na kuzama katika ziwa Victoria Magharibi mwa Kenya

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi 98 wazama ziwa Albert uganda

Umoja wa Mataifa umesema kuwa takriban watu 98, wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wanasafiria kuzama Ziwa Albert Magharibi mwa Uganda.

 

11 years ago

BBCSwahili

Siku 3 kuomboleza waliozama Ziwa Albert

Serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo imetangaza siku 3 za maombolezi ya wakimbizi waliofariki katika ajali ya boti katika ziwa Albert siku ya Jumamosi.

 

11 years ago

GPL

BOTI YAZAMA NA KUUA WAKIMBIZI

MIILI 25 imepatikana Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzama. Wakimbizi hao walikuwa wakitoroka kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali wilayani Hoima magharibi mwa Uganda, wakirejea kwao. Kwa sasa Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kutafuta miili zaidi. Kamanda wa polisi wa eneo hilo John Ojukuna amesema watu 43 wameokolewa. Boti iliyozama inadhaniwa kuwa ilikuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka

PIXX 3

Wakimbizi kutoka nchini Burundi  walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).

PIXX 1

Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA

 Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi wakipokelewa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, wilayani Kobondo, mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka nchini humo inazidi kuongezeka siku hadi siku.Watoto wa Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, mkoani Kigoma ambapo wanahifadhiwa. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA

 Mkuu wa kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu B iliyopo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, Fredrick Nisajile akiongea na wakimbizi walio katika mpango wa kuhamishiwa kwenye kambi za Nduta, Mtendeli na Karago.Wakimbizi hao waliopokelewa kutoka nchini Burundi hivi karibuni kwa sasa wanahifadhiwa kwa muda katika kambi ya Nyarugusu. Wakimbizi kutoka Burundi walioko katika Kambi ya Nyarugusu wakiandaa mboga ya kisamvu kama walivyokutwa na mpiga picha wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeko katika...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUNUSURU ZIWA BASSOTU KUJAA NA KUSABABISHA MAAFA KWA WAKAZI WA KARIBU NA ZIWA HILO

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia namna Ziwa Basotu wilayani Hanang mkoani Manyara lilivyofurika na kuziba barabara katika eneo hilo alipofanya ziara mkoani humo.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akipimwa joto la mwili alipowasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kwa ajili ya ziara wilayani Hanang kuangalia athari za kufurika kwa Ziwa Basotu na kuzingira makazi ya wanachi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani