BOTI YAZAMA NA KUUA WAKIMBIZI
![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGH-M7BibdEKRLU4BhTcwoN8oVX*I7llx6rQTQJzQAogxKbilKOOkiWArUaVQCSF85RtGlsO*evgmxxENkTchhAJ/BREAKINGNEWS.gif)
MIILI 25 imepatikana Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzama. Wakimbizi hao walikuwa wakitoroka kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali wilayani Hoima magharibi mwa Uganda, wakirejea kwao. Kwa sasa Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kutafuta miili zaidi. Kamanda wa polisi wa eneo hilo John Ojukuna amesema watu 43 wameokolewa. Boti iliyozama inadhaniwa kuwa ilikuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Dec
Boti yazama na watu 36 DRC
10 years ago
Habarileo13 Oct
Boti yazama, yaua 3, maharusi waokolewa
WATU watatu wamekufa na wengine zaidi ya 70 wameokolewa wakiwemo bwana na bibi harusi ambao walitoka kufunga ndoa muda mfupi kabla ya tukio hilo kufuatia boti waliyokuwa wakisafiria kugonga mwamba na kuzama ndani ya Ziwa Tanganyika.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Ajali ya boti yahofiwa kuua saba
BOTI ya Kilimanjaro II imekumbwa na dhoruba katika mkondo wa Nungwi ikitokea Pemba kwenda Unguja, na abiria saba wanahofiwa kufa. Dhoruba hiyo ilitokea jana mchana na boti hiyo ilielezwa kuwa...
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Boti la wakimbizi lazama Ziwa Albert
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziWAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
Mtanzania08 May
Dar yazama
Jonas Mushi na Hadia Hamisi, Dar es Salaam
MVUA kubwa iliyonyesha tangu juzi imesababisha maafa makubwa katika Jiji la Dar es Salaam, huku watu wawili wakipoteza maisha baada ya kuzidiwa na maji katika maeneo tofauti jana.
Mbali ya vifo hivyo, wakazi wengi wa jiji hilo wameachwa bila makazi kutokana na nyumba zao kujaa maji.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova alisema mvua hiyo imesababisha kifo cha mtu mmoja katika eneo la...
9 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.