Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brand New Single: Quick Rocka - Sukido

Huu ni wimbo mwingine mpya kutoka kwa Quick Rocka, baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wake wa Penzi, leo kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm Quick ameachia wimbo wake mpya SUKIDO...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio)

Ni time ya kusikiliza hii single mpya ya msanii kutokea 87.8 Mbeya City, Quick Rocka wimbo unaitwa Queen. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito HAPA..>>> Quick Rocka ‘Queen’ Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]

The post Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Mo Rocka adai Quick Rocka ameshindwa kuwasaidia wasanii wa Rockaz!!

Mmoja kati ya member wanaounda kundi la muziki la ‘Rockaz’, Mo Rocka amesema mwenzao Quick Rocka ameshindwa kuitumia nafasi yake vizuri kuwasaidia wasanii wa kundi hilo. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV jana, Mo alisema hapendezwi na tabia ya Quick Rocka kujifanya anajua zaidi. “Baada ya kutoka na ile Bullet, [Quick] akawa anafanya vizuri na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Quick Rocka – Queen

Screen-Shot-2015-12-02-at-1.34.31-PM

Quick Rocka ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Queen”, Video imeongozwa na Khalfani

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Switcher f/ Quick Rocka — Nakupenda

Download ngoma mpya ya Quick Rocka aliyomshirikisha Luffa, Nakupenda. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

QUICK ROCKA ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mmilikiwa Switch Records , Quick rocka akijiandaa kufanya mahojiano na Global TV Online. Quick rocka akifafanua jambo.…

 

9 years ago

GPL

KAJALA, QUICK ROCKA PENZI ZITO

KWELI penzi ni kikohozi! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles ‘Quick Rocka’ wamedaiwa kuzama kwenye penzi zito licha ya wenyewe kutotaka watu wajue. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles ‘Quick Rocka’. Madai ya penzi hilo motomoto yameshereheshwa zaidi baada Quick kutupia picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akiwa...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Joh Maker ft Quick Rocka — Sijachelewa

Ngoma Mpya kutoka kwa rapper Joh Maker akimshirikisha Quick Rocka ngoma inaitwa “Sijachelewa” imefanyika katika Studio za Switch

 

9 years ago

Bongo5

Music: Jordan Ft. Quick Rocka — Kama Ronaldo

Msanii kutoka Denjavu Music Jordan ameachia wimbo mpya unaitwa “Kama Ronaldo” amemshirikisha Quick Rocka Producer Luffa kutoka Switch Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani