Video: Quick Rocka – Queen
Quick Rocka ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Queen”, Video imeongozwa na Khalfani
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo515 Oct
Video: Kionjo cha video ya wimbo mpya ya Quick Rocka ‘Queen’ iliyoongozwa na Khalfani na Raqey
Quick Rocka amefanya video mpya na muongozaji aliyefanya video yake iliyopita, Khalfani na safari hii wameongeza nguvu ya director mwingine wa I-View studios Raqey. Katika akaunti yake ya Instagram Quick ameshare kionjo cha video hiyo ya wimbo wake mpya uitwao ‘Queen’ na kuandika “#NewVideoAlert#NewSongAlert….Mbeya City yo boy is coming.#Oct17#Queen# @director_khalfani & @raqey_allaraqya on this one.” […]
10 years ago
Bongo522 Sep
Mo Rocka adai Quick Rocka ameshindwa kuwasaidia wasanii wa Rockaz!!
Mmoja kati ya member wanaounda kundi la muziki la ‘Rockaz’, Mo Rocka amesema mwenzao Quick Rocka ameshindwa kuitumia nafasi yake vizuri kuwasaidia wasanii wa kundi hilo. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV jana, Mo alisema hapendezwi na tabia ya Quick Rocka kujifanya anajua zaidi. “Baada ya kutoka na ile Bullet, [Quick] akawa anafanya vizuri na […]
10 years ago
Bongo529 Nov
New Video: Quick Rocka f/ Young Dee — Bishoo
Quick Rocka ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Bishoo’ aliyomshirikisha Young Dee. Video imeongozwa na Khalfan.
10 years ago
GPL
KAJALA, QUICK ROCKA PENZI ZITO
KWELI penzi ni kikohozi! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles ‘Quick Rocka’ wamedaiwa kuzama kwenye penzi zito licha ya wenyewe kutotaka watu wajue. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles ‘Quick Rocka’. Madai ya penzi hilo motomoto yameshereheshwa zaidi baada Quick kutupia picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akiwa...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
Brand New Single: Quick Rocka - Sukido
Huu ni wimbo mwingine mpya kutoka kwa Quick Rocka, baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wake wa Penzi, leo kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm Quick ameachia wimbo wake mpya SUKIDO...
10 years ago
GPLQUICK ROCKA ATINGA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mmilikiwa Switch Records , Quick rocka akijiandaa kufanya mahojiano na Global TV Online. Quick rocka akifafanua jambo.…
10 years ago
Bongo528 Sep
New Music: Switcher f/ Quick Rocka — Nakupenda
Download ngoma mpya ya Quick Rocka aliyomshirikisha Luffa, Nakupenda. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo504 Dec
Quick Rocka akanusha kuwa na uhusiano na Kajala
Bishoo, Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Masanja. Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake. “Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania