BRAZIL 2014: Fifa yawatibulia Januzaj, Lukaku Ubelgiji
Ubelgiji ilishinda mechi hiyo ilofutwa kwa mabao 5-1, yakiwamo matatu ya ‘hat trick’ yaliyofungwa na Romelu Lukaku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jun
BRAZIL 2014: Algeria yaua, Ubelgiji yafuzu
>Algeria imeiangushia kipigo Korea Kusini baada ya kuichapa mabao 4-2 katika mechi ya Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa kwenye Uwanja wa Beira-Rio mjini Porto Alegre, Brazil.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
BRAZIL 2014: Maradona awajia juu Fifa
>Diego Maradona ameibwatukia Fifa (Shirikisho la Soka la Kimataifa Duniani), baada ya wachezaji saba wa Costa Rica kutakiwa kupimwa damu kama wanatumia dawa za kulevya kutokana na ushindi wao wa kushtukiza dhidi ya Italia.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: Nigeria hatihati kufungiwa Fifa
>Nigeria haijarudi nyuma katika uamuzi wake wa kuwafukuza viongozi wote wa shirikisho la soka la nchi hiyo na kupuuza agizo la Fifa na sasa wanakaribia kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa.
11 years ago
TheCitizen13 Jun
BRAZIL 2014: The Fifa #WorldCup as soccer players’ market
Hundreds of soccer talent scouts are already in Brazil to hunt for new players who would have, by the end of the World Cup, succeeded in convincing the world of their worth.
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Ubelgiji yang’ara, Brazil yashikwa
Kipa Guillermo Ochoa ameiongoza Mexico kulazimisha suluhu na Brazil, huku Ubelgiji wakichapa Algeria 2-1 jana.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil
>Vilio, majonzi vilitawala kila ni kona ya Brazil baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-1kutoka kwa Ujerumani katika nusu fainali ya kwanzajana kwenye Uwanja wa Mineirao.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Rio awatabiria akina Pogba kung’ara Brazil
Ferdinand, ambaye amestaafu kuchezea timu ya taifa, atakuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano hiyo ya mwaka huu inayoanza wiki hii.
11 years ago
TheCitizen28 Jun
BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia
>From 32, it’s down to the last 16. Here there are no second chances. It is win or bust.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo
Licha ya kuwa Neymar ndiye mchezaji anayetajwa zaidi na kuonekana msaada mkubwa katika kikosi cha Brazil, pia uwepo wa Oscar, Thiago Silva na David Luiz unaonekana kuwa muhimu uwanjani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania