Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRAZIL 2014: Maradona awajia juu Fifa

>Diego Maradona ameibwatukia Fifa (Shirikisho la Soka la Kimataifa Duniani), baada ya wachezaji saba wa Costa Rica kutakiwa kupimwa damu kama wanatumia dawa za kulevya kutokana na ushindi wao wa kushtukiza dhidi ya Italia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Kocha wa Nigeria awajia juu mashabiki

Kocha Stephen Keshi amewapuuza mashabiki wa soka nchini Nigeria baada ya timu yake kucheza moja ya mechi mbaya za Kombe la Dunia nchini Brazil mapema wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Nigeria hatihati kufungiwa Fifa

>Nigeria haijarudi nyuma katika uamuzi wake wa kuwafukuza viongozi wote wa shirikisho la soka la nchi hiyo na kupuuza agizo la Fifa na sasa wanakaribia kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa.

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: The Fifa #WorldCup as soccer players’ market

Hundreds of soccer talent scouts are already in Brazil to hunt for new players who would have, by the end of the World Cup, succeeded in convincing the world of their worth.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Fifa yawatibulia Januzaj, Lukaku Ubelgiji

Ubelgiji ilishinda mechi hiyo ilofutwa kwa mabao 5-1, yakiwamo matatu ya ‘hat trick’ yaliyofungwa na Romelu Lukaku.

 

9 years ago

Habarileo

RC Moro awajia juu watendaji

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe amesema atawachukulia hatua za kinidhamu watendaji wa halmashauri za wilaya za mkoa huo ambao watakuwa wameshindwa kutekeleza agizo lake la ujenzi wa vyoo kulingana na uwiano wa matumizi ya wanafunzi wasichana na wavulana katika shule za msingi na sekondari.

 

11 years ago

GPL

BOSI WA KIIZA AWAJIA JUU YANGA SC

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza 'Diego '. Nicodemus Jonas
KOCHA wa zamani wa timu ya Taifa ya Uganda, ‘The Cranes’, Jackson Mayanja, amewajia juu wanachama na mashabiki wa Yanga wanaoendelea kumtupia lawama mshambuliaji wao, Hamisi Kiiza kwa kitendo cha kukosa mkwaju wa penalti kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, juzi Jumatano.… ...

 

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe awajia juu wakandarasi wawili

Dk Harison MwakyembeSERIKALI imewataka wakandarasi wenye zabuni ya ujenzi wa bandari mbili tofauti katika Visiwa vya Ntama na Lushamba, wilayani Sengerema mkoani Mwanza kukamilisha kazi kwa wakati uliopangwa.

 

11 years ago

GPL

BATULI AWAJIA JUU MASTAA WANAOWAHARIBIA

Stori: Shani Ramadhani MSANII wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph  ‘Batuli’ amesema tabia mbaya za baadhi ya wasanii wenzao ndizo zinazowaharibia na kuwafanya wote waonekane hawana maadili. Msanii wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph  ‘Batuli’. Akiteta na safu hii, Batuli alisema amekuwa akipata malalamiko kuwa hawatumii katika filamu zake watoto Jenifer na Jamila waliokuwa wakifanya kazi na...

 

10 years ago

Habarileo

Nape awajia juu wanaoshabikia Ukawa

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema watanzania wachache wanaoendelea kuwaunga mkono wanaharakati wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wanapoteza muda wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani