Brazil 2014: Hispania yavuliwa ubingwa
Uholanzi na Chile zimekuwa timu za kwanza kutinga hatua ya 16 bora ya Fainali za Kombe la Dunia 2014 huku Hispania na Australia zikiwa timu za kwanza kuaga fainali hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jun
BRAZIL 2014: ‘Kombe la Hispania, Brazil’ - Torres
Kikosi cha kocha Vicente Del Bosque kinasaka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Hispania kutetea ubingwa wake.
9 years ago
Bongo528 Oct
Chelsea yavuliwa ubingwa wa “Capital One” na Stoke City
Matoke mabaya yana endelea kumuandama Jose Mourinho msimu huu baada ya vijana wake kutolewa katika shindano kombe la Capital One na Stoke City kupitia mikwaju ya penalti mechi iliyochezwa Jumanne kuamkia Jumatano na kuvuliwa ubingwa wa kombe hilo. Stoke City walipata goli lao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Jonathan Walters dakika chache baada kipindi […]
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Neymar bado ana ndoto za ubingwa
>Mshambuliaji wa Brazil aliyeumia, Neymar amewatumia wenzake video yake inayomwonyesha akiwatia moyo kwa kuendelea kuwa na matumaini ya kutwaa Kombe la Dunia 2014 bila uwepo wake.
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Ubingwa kuwatajirisha nyota wa Hispania
Wachezaji wa Hispania watalipwa fedha mara mbili ya wenzao wa Brazil na Ujerumani kama watafanikiwa kutetea ubingwa wao wa Kombe la Dunia.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Rio awatabiria akina Pogba kung’ara Brazil
Ferdinand, ambaye amestaafu kuchezea timu ya taifa, atakuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano hiyo ya mwaka huu inayoanza wiki hii.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo
Licha ya kuwa Neymar ndiye mchezaji anayetajwa zaidi na kuonekana msaada mkubwa katika kikosi cha Brazil, pia uwepo wa Oscar, Thiago Silva na David Luiz unaonekana kuwa muhimu uwanjani.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil
>Vilio, majonzi vilitawala kila ni kona ya Brazil baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-1kutoka kwa Ujerumani katika nusu fainali ya kwanzajana kwenye Uwanja wa Mineirao.
11 years ago
TheCitizen28 Jun
BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia
>From 32, it’s down to the last 16. Here there are no second chances. It is win or bust.
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva
>Brazil imekata rufaa juu ya adhabu ya kukosa mchezo mmoja kwa nahodha wake, Thiago Silva mwenye kadi mbili za njano, ambazo zinamaanisha atalazimika kukosa mchezo wa leo dhidi ya Ujerumani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania