Chelsea yavuliwa ubingwa wa “Capital One” na Stoke City
Matoke mabaya yana endelea kumuandama Jose Mourinho msimu huu baada ya vijana wake kutolewa katika shindano kombe la Capital One na Stoke City kupitia mikwaju ya penalti mechi iliyochezwa Jumanne kuamkia Jumatano na kuvuliwa ubingwa wa kombe hilo. Stoke City walipata goli lao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Jonathan Walters dakika chache baada kipindi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCChelsea 3-0 Stoke City
Chelsea return to the Premier League summit with victory over Stoke after an impressive display by Egypt's Mohamed Salah.
11 years ago
GPLMAN CITY YATWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE
LONDON, England
KOCHA Manuel Pellegrini amefanikiwa kutwaa taji la kwanza akiwa bosi wa Manchester City baada ya jana kuifunga Sunderland katika fainali ya Kombe la Capital kwa mabao 3-1kwenye Uwanja wa Wembley jijini London. Kocha huyo raia wa Chile ambaye yupo katika adhabu ya kukosa mechi tatu za Ulaya baada ya kufungiwa na Shirisho la Soka la Ulaya (Uefa) kutokana na kumtolea lugha kali mwamuzi, Jonas Eriksson, alikuwa na...
10 years ago
GPLCHELSEA IMETWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE CUP KWA KUIFUNGA TOTTENHAM BAO 2- 0
Kikosi cha timu ya Chelsea kikiongozwa na Kocha wao, Jose Mourinho baada ya kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup 2014/15 usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham. Kaptani wa Chelsea, John Terry (katikati) akinyanyua Kombe akiwa na wachezaji…
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Brazil 2014: Hispania yavuliwa ubingwa
Uholanzi na Chile zimekuwa timu za kwanza kutinga hatua ya 16 bora ya Fainali za Kombe la Dunia 2014 huku Hispania na Australia zikiwa timu za kwanza kuaga fainali hizo.
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Chelsea, Manchester City ni vita ya ubingwa Ligi Kuu England
Chelsea ina nafasi ya pekee ya kufikisha pointi nane dhidi ya Manchester City leo katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Liverpool yaichapa Stoke Capital One
Klabu ya soka ya Liverpool imefanikiwa kuifunga Stoke City 1-0 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali Capital One.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Stoke kuikabili Britannia capital One.
Mechi za kwanza za Nusu Fainali ya Capital One Cup, ambalo ni Kombe la Ligi huko England, zitachezwa leo Jumanne Usiku.
9 years ago
Africanjam.ComVIDEO: STOKE CITY 2 - 0 MANCHESTER CITY (All Goals and Highlights 05.12.2015)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
BBCChelsea's Moses joins Stoke on loan
Stoke City boost their attacking options with the signing of Chelsea's Nigeria winger Victor Moses on a season-long loan.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania