Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHELSEA IMETWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE CUP KWA KUIFUNGA TOTTENHAM BAO 2- 0

Kikosi cha timu ya Chelsea kikiongozwa na Kocha wao, Jose Mourinho baada ya kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup 2014/15 usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham. Kaptani wa Chelsea, John Terry (katikati) akinyanyua Kombe akiwa na wachezaji…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: MIEMBENI FC WATINGA FAINALI BAADA YA KUIFUNGA BAO 2-1 BILELE FC KWA DAKIKA 120!

Wachezaji wa timu zote mbili Miembeni Fc na Bilele Fc  wakisalimiana kabla ya Mtanange kuanza jioni hii katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.Kikosi cha Timu ya Miembeni FcKikosi cha Timu ya Bilele Fc
Mabingwa watetezi wa kombe la KAGASHEKI, Bilele Fc, wamefungwa leo na Timu ya Miembeni Fc bao 2-1 kwenye mtanange uliopigwa dakika 120, dakika 90 za mchezo huo zilimalizika kwa  kutoshana nguvu kwa bao 1-1 katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.Timu ya Bilele Fc ndio walianza kupata bao la mkwaju...

 

10 years ago

Michuzi

AZAM FC YATWAA UBINGWA WA CECAFA KAGAME CUP 2015 KWA KUICHAPA GOR MAHIA YA KENYA BAO 2-0


Wachezaji wa timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam wakisherehekea ubingwa wao wa Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, mara baada ya kuitungua timu ya Gor Mahia ya nchini Kenya Bao 2-0, katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo.Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Mhe. Eugene Segore Kayihura (wa pili kulia) akikabidhi kitita cha Dola za Kimarekani eflu 30 kwa Nahodha wa Timu ya Azam FC, John Bocco "Adebayor" ikiwa ni zawadi ya ushindi wa kwanza iliyotolewa na...

 

9 years ago

Bongo5

Chelsea yavuliwa ubingwa wa “Capital One” na Stoke City

Matoke mabaya yana endelea kumuandama Jose Mourinho msimu huu baada ya vijana wake kutolewa katika shindano kombe la Capital One na Stoke City kupitia mikwaju ya penalti mechi iliyochezwa Jumanne kuamkia Jumatano na kuvuliwa ubingwa wa kombe hilo. Stoke City walipata goli lao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Jonathan Walters dakika chache baada kipindi […]

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA WA KUIZUIA CHELSEA KUTWAA UBINGWA, LEICESTER YACHEZEA KICHAPO CHA BAO 3-1

Mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Leicester ( katikati ) Marc Albrighton ukimpita mlinda mlango wa Chelsea Petr Cech ( kushoto ) na beki wake Gary Cahill na kujaa wavuni kuiandikia Leicester bao la kuongoza. Mshambuliaji nguli wa Chelsea, Didier Drogba akipiga mpira uliokwenda moja kwa moja nyavuni na ukisawazishia timu yake katika dakika ya 48 muda mfupi tu baada ya kipindi cha pili kuanza.Wachezaji wa Chelsea wakiwasalimia mashabiki wao baada kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Leicester...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni Liverpool na Chelsea Capital Cup

Liverpool wameibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Bournemouth katika michuano ya kombe la Capital Cup.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea -nusu fainali Capital Cup.

Chelsea, waliwachabanga timu ya Derby County, Bao 3-1 kwenye Kombe la Ligi maarufu kama Capital One Cup, na kutinga Nusu Fainali.

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014 - KAGONDO FC WATINGA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA IJUGANYONDO KWA MIKWAJU YA PENATI 4-3

Wachezaji wa Timu ya Kagondo Fc wakimpongeza mchezaji wao aliyewapa ushindi wa kwenda hatua ya Nusu fainali Abdallatifu Khamis juu kwa juu.
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Ubingwa wanukia kwa Yanga, yaichapa Ruvu Shooting bao 5-0 leo


Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande). Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0. 
Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki...

 

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea hoi kwa Sunderland Capital One

Sunderland imesonga mbele hatua ya nusu fainali ya michuano ya ya Kombe la Capital One baada ya kuichapa Chelsea mabao 2-1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani