Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAN CITY YATWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE

LONDON, England
KOCHA Manuel Pellegrini amefanikiwa kutwaa taji la kwanza akiwa bosi wa Manchester City baada ya jana kuifunga Sunderland katika fainali ya Kombe la Capital kwa mabao 3-1kwenye Uwanja wa Wembley jijini London. Kocha huyo raia wa Chile ambaye yupo katika adhabu ya kukosa mechi tatu za Ulaya baada ya kufungiwa na Shirisho la Soka la Ulaya (Uefa) kutokana na kumtolea lugha kali mwamuzi, Jonas Eriksson, alikuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Manchester City yatwaa ubingwa wa Uingereza

Na Israel Saria  Hatimaye Manchester City wamefanikiwa kunyakua ubingwa wa England katika siku ya mwisho ya Ligi Kuu, ambapo walikuwa wakihitaji pointi moja tu kutawazwa wafalme. Vijana hao wa Manuel Pellegrini hawakufanya makosa walipoingia uwanjani nyumbani dhidi ya West Ham, kwani Samin Nasri na nahodha Vincent Kompany walihakikisha wanaipatia timu yao mabao, huku ngome ikihakikisha haivuji. Wakati City wakipata ushindi huo, Liverpool waliokuwa wakiunyemelea ubingwa pia kwa kusubiri...

 

9 years ago

Bongo5

Chelsea yavuliwa ubingwa wa “Capital One” na Stoke City

Matoke mabaya yana endelea kumuandama Jose Mourinho msimu huu baada ya vijana wake kutolewa katika shindano kombe la Capital One na Stoke City kupitia mikwaju ya penalti mechi iliyochezwa Jumanne kuamkia Jumatano na kuvuliwa ubingwa wa kombe hilo. Stoke City walipata goli lao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Jonathan Walters dakika chache baada kipindi […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Man City hoi Capital One

Mechi za kombe la ligi ya CAPITALA ONE CUP zimeendelea usiku wa kuamkia leo huku viwanja kadhaa vikiwa matatani.

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014

Timu ya Manchester City imeibuka na Ubingwa wa kombe la Capital One baada ya kuifunza mpira timu ya Sunderland kwa kuichabanga magoli 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Wembley,Machi 2,2014.

Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...

 

5 years ago

Michuzi

Bluefins yatwaa ubingwa kuogelea ya Mwanza










Waogeleaji wa klabu ya Bluefins wakishangilia baada ya kushinda mashindano ya kuogelea ya Mwanza yaliyofanyika kwenye bwawa la kuogelea la Isamilo.

**************************

Dar es Salaam. Klabu ya Bluefins ya Dar es Salaam imefanikiwa kunyakua ubingwa wa mashindano ya kuogelea ya mkoa wa Mwanza yajulikanayo kwa jina la Isamilo swimming championships.
Kwa ushindi huo, Bluefins inakuwa klabu pekee Tanzania kufanikiwa kutwaa ubingwa mara mbili katika mashindano matatu yaliyokwisha fanyika...

 

10 years ago

BBCSwahili

TEMEKE yatwaa ubingwa TAIFA CUP

Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimeipongeza timu ya Temeke kwa kutwaa Ubingwa wa Taifa Wanawake, kwa bao 1-0

 

10 years ago

Michuzi

Kinondoni yatwaa ubingwa ARS 2014

 Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari ,utamaduni na michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akimkabidhi kombe la ubingwa wa Airtel Rising Stars 2014 nahodha wa timu ya wasichana ya Temeke Fatuma Issa baada ya kuibuka mabingwa. naeshudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Sunil Colaso.  Makamu mwnyekiti wa chama cha soka cha wanawake Tanzania Rose Kisiwa akimkabidhi kombe la ubingwa wa Airtel Rising Stars 2014 nahodha wa timu ya mkoa wa kisoka Kinondoni Fred Mazuri  Baada ya kuibamiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani