Brazil wakutana na Ujerumani leo
Brazil itakutana na Ujerumani katika nusu fainali ya kwanza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jul
BRAZIL 2014: Jeshi la watu 10,000 laipokea Ujerumani ‘kibingwa’ leo
Zaidi ya watu 10,000 wamejitokeza katika uwanja wa ndege wa Berlin Tegel kuipokea timu yao ya taifa leo, kufuatia kutwaa kwake ubingwa wa Dunia kwa mara ya 4 mnamo Jumapili.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
BRAZIL 2014: Ni Brazil na Ujerumani
>Wenyeji Brazil wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, katika mchezo wa pili wa robo fainali jana mjini Fortaleza.
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Brazil, Ujerumani hapatoshi
Brazil imejikatia tiketi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuilaza Colombia mabao 2-1 katika mechi ngumu ya robo fainali.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRY3YLsFc3oOUxv**hyknSOb29CJL0-IF-M3*0mZLsF9x7qO3gNpHIl6ENBzSbusimdo-9yF-7n7xLDyB1cEXzl8/1.jpg)
AIBU: BRAZIL YAPIGWA 7-1 NA UJERUMANI
André Horst Schürrle (katikati) akifurahia na wachezaji wenzake wa Ujerumani baada ya kufunga bao la 7 dhidi ya Brazil. MWENYEJI wa michuano ya Kombe la Dunia 2014, Brazil ameyaaga mashindano hayo kwa aibu baada ya kupokea kipigo hevi cha mabao 7-1 kutoka kwa Ujerumani. Brazil ameondolewa katika michuano hiyo hatua ya nusu fainali na atalazimika kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na timu itakayopoteza mechi ya leo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8j7qgvw5yO8/U7xh_vOxyXI/AAAAAAAFzHU/ItQWFfUMS-0/s72-c/unnamed+%25283%2529.gif)
maskini brazil....UJERUMANI YAWAPIGA 7-1
![](http://2.bp.blogspot.com/-8j7qgvw5yO8/U7xh_vOxyXI/AAAAAAAFzHU/ItQWFfUMS-0/s1600/unnamed+%25283%2529.gif)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YZtYrAlvSK0/U7xkGEWMTsI/AAAAAAAFzIk/_TN3_A6ndio/s1600/article-2682447-1F7CEF2600000578-335_964x390.jpg)
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ujerumani kujijengea hoteli, uwanja Brazil
Ujerumani itajenga hoteli na uwanja wa mazoezi nchini Brazil kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia Munich, Ujerumani.
11 years ago
Mwananchi10 Jul
BRAZIL 2014: Ni Argentina na Ujerumani fainali
Timu ya soka ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia baada kuitungua Uholanzi kwa mikwaju ya penalti 4-2, katika mchezo wa jana wa nusu fainali nchini Brazil.
11 years ago
Mwananchi14 Jul
BRAZIL 2014: Ujerumani - Mabingwa wa Dunia!
Ujerumani ndiyo mabingwa wapya wa dunia baada ya kuichapa 1-0 Argentina katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2014, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro, Brazil.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania