maskini brazil....UJERUMANI YAWAPIGA 7-1
![](http://2.bp.blogspot.com/-8j7qgvw5yO8/U7xh_vOxyXI/AAAAAAAFzHU/ItQWFfUMS-0/s72-c/unnamed+%25283%2529.gif)
Ujerumani goli 7 na Brazil bao 1.... wanalia. Mara ya mwisho Brazil kupigwa mabao 6 ilikuwa mwaka 1920 na Uruguay...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YAWAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA
Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajili ya usalama wa ndege ikiwa kwenye anga husika. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles… ...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
BRAZIL 2014: Ni Brazil na Ujerumani
>Wenyeji Brazil wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, katika mchezo wa pili wa robo fainali jana mjini Fortaleza.
5 years ago
BBCSwahili25 May
Virusi vya corona: Marekani yawapiga marufuku wasafiri wa kigeni kutoka Brazil
Brazil hivi karibuni imekuwa ngome mpya ya maambukizi ya virusi vya corona huku watu 300,000 wakitibitishwa kuwa na virusi huvyo.
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Brazil, Ujerumani hapatoshi
Brazil imejikatia tiketi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuilaza Colombia mabao 2-1 katika mechi ngumu ya robo fainali.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRY3YLsFc3oOUxv**hyknSOb29CJL0-IF-M3*0mZLsF9x7qO3gNpHIl6ENBzSbusimdo-9yF-7n7xLDyB1cEXzl8/1.jpg)
AIBU: BRAZIL YAPIGWA 7-1 NA UJERUMANI
André Horst Schürrle (katikati) akifurahia na wachezaji wenzake wa Ujerumani baada ya kufunga bao la 7 dhidi ya Brazil. MWENYEJI wa michuano ya Kombe la Dunia 2014, Brazil ameyaaga mashindano hayo kwa aibu baada ya kupokea kipigo hevi cha mabao 7-1 kutoka kwa Ujerumani. Brazil ameondolewa katika michuano hiyo hatua ya nusu fainali na atalazimika kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na timu itakayopoteza mechi ya leo...
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ujerumani kujijengea hoteli, uwanja Brazil
Ujerumani itajenga hoteli na uwanja wa mazoezi nchini Brazil kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia Munich, Ujerumani.
11 years ago
Mwananchi14 Jul
BRAZIL 2014: Ujerumani - Mabingwa wa Dunia!
Ujerumani ndiyo mabingwa wapya wa dunia baada ya kuichapa 1-0 Argentina katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2014, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro, Brazil.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania