Breaking nyuzzzz: JK AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTUA LEO AKITOKEA MAREKANI KWENYE MATIBABU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Prof. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam hivi sasa,mara baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Marekani kwenye Matibabu.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJK AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTUA LEO AKITOKEA MAREKANI KWENYE MATIBABU
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA TU BAADA YA KUTUA TOKA MAREKANI, ASEMA ALIFANYIWA UPASUAJI WA SARATANI YA TEZI DUME
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waandishi wa habari uwanja wa ndege leo Jumamosi Novemba 29, 2014 mara tu baada ya kutua toka Marekani alipokuwa amekwenda kwa ajili ya upasuaji wa saratani ya tezi dume. (picha kwa hisani ya Michuzi)
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Wanahabari na kuwataarifu kwamba alichofanyia ni upasuaji wa saratani ya tezi dume na hili alilijua mapema kabla ya kuja nchini Marekani na lilikua si jambo rahisi kulielezea lakini nilikua sina budi kumweleza mke wangu wananagu...
10 years ago
CloudsFM03 Dec
Picha: Diamond akizungumza na waandishi wa habari jana Escape One baada ya kutua nchini
Mshindi wa tuzo tatu za Channel O,staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari jana,Escape One,Mikocheni,jijini Dar baada ya kutua kutoka nchini Afrika Kusini.Mmoja wa mameneja wa Diamond,Mkubwa Fella akizungumza na waandishi wa habari na mashabiki waliofika kumpokea Diamond akitokea nchini Afrika Kusini kwenye tuzo za Channel O.
10 years ago
MichuziKAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU
10 years ago
Michuzi20 Oct
11 years ago
MichuziBreaking Nyuzzzz: WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ.....: WACHIMBAJI KADHAA WAFUNIKWA NA KIFUSI CHUNYA, MKOANI MBEYE LEO
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Shirika la Habari la Marekani la Internews laendesha mafunzo ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu kwa waandishi wa ZNZ
Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kitabu cha Sheria cha Tanzania na cha Zanzibar ambavyo vinawapasa waandishi wa habari kuvisoma na kuzitumia sheria hizo katika kuandika habari za Uchaguzi Mkuu kwa usahihi.
Mkufunzi na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa mada katika mafunzo ya siku tano juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na...
11 years ago
GPL27 Jan
KAMANDA WAMBURA AKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA MTIKISIKO KWENYE JENGO LA OFISI ZA TIGO DAR