Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRIGHT ANGEL HIGH SCHOOL YAFANYA MAHAFALI YA SABA YA KIDATO CHA NNE MWISHONI MWA WIKI.

Kushoto ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bright Angel High School, Ajay Mohamed akiwa na mwanafunzi mwenzake katika shule hiyo. Kutoka kulia ni Mkuu wa shule ya Bright Angel High School, Angribeth Nkwera katikati ni Mgeni rasmi katika mahafali ya saba katika shule ya Bright Angel High School, Innocent Banzi na Bi.Yasinta Mwinuka wakiwa angalia wanafunzi wa shule hiyo wakati wakitumbuiza katika mahafali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Pwani. Mkuu wa shule ya Bright Angel High...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA SHULE YA SEKONDARI MWILAMVYA KASULU KIGOMA

Na Editha Karlo wa Blog ya jamiiWIZARA ya Elimu na mafunzo ya ufundi imepigilia msumari wa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari na shule za msingi za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yeyote atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...

 

11 years ago

GPL

LILIANI KIBO HIGH SCHOOL YA GOBA, DAR, YAFANYA MAHAFALI

Wahitimu wa kidato cha sita wa Lilian Kibo High School wakati wa mahafali. Mwanafunzi bora katika masomo ya sayansi, Alkhadil Issa akipokea zawadi.…

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA YAFANA.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza Mwl.Asensio Mathias (Mwenye Kinasa Sauti) akizungumza katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika shule hiyo yaliyofantika jana Octoba16,2015 katika Ukumbi wa Shule hiyo.Na:George Binagi-GB PazzoMgeni Rasmi katika Mahafali ya 14 ya kidato cha Nne Mkolani Sekondari ya Jijini Mwanza Ndg.Bituro Kazeri (Wa tatu kila upande) ambae ni Afisa Habari wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii TASAJA akijiandaa kuwakabidhi vyeti wahitimu wa shule hiyo...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA NNE KENYAMANYORI SEKONDARI MKOANI MARA YAFANA.

Afisa Elimu Sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara George Ogutu akizungumza katika Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Kenyamanyori iliyopo katika halmashauri hiyo.Ogutu alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ambayo yalifanyika jana Octoba 02,2015 katika Viunga vya Shule hiyo ambayo wakati inaanza kupokea wanafunzi wanaohitimu mwaka huu ilikuwa ni shule ya Kijiji cha Kenyamanyori na ilijengwa kwa nguvu za wakazi wa kijiji hicho ambao asilimia kubwa ni wakulima na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KWANZA KIDATO CHA NNE SEKONDARI YA MT. PETER KLEVA IHUMWA, DODOMA

Rais Mstaafu awamu ya tatu Benjamini Mkapa akihutubia kwenye mahafali ya kwanza ya kidato cha nne shule ya sekondari ya mtakatifu Peter Kleva huko Ihumwa nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, Jumapili Novemba 16, 2014. Mkapa aliwaasa vijana wanaosoma sasa kufanbya bidii katika masomoRais mstaafu awamu ya tatu Benjamini Mkapa (kushoto) akifurahia jambo na mwenyeji wake Mkuu wa Shule ya sekondarei Mt Peter Kleva ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma Padri James Andrew Ayaga jana kwenye mahafali...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI EDEN GARDEN EDUCATION TRUST

Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust ya Mkoani Kilimanjaro wanaotarajia kufanya mitihani yao ya mwisho siku chache zijazo wakiingia ukumbini kwa ajili ya sherehe ya kuwaaga iliyofanyika shuleni hapo,Mbele ni mkuu wa Utawala shuleni hapo Peter Nayor .Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakiingia kwa madoido uwanjani.Baadhi ya wazazi wenye watoto wao katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust...

 

10 years ago

Michuzi

mahafali ya shule ya sekondari Twayyibat kidato cha nne yafanyika temeke jijini dar

  Sehemu ya meza kuu,kutoka kulia ni Imam Abbasi Maunda  (mdau), Bi Halima Mamuya (mdau), Balozi Amina Salum Ali (mgeni rasmi), Fatma Khalfan (Mwenyekiti wa bodi), Juma Omari (mkuu wa shule) wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mahafali hayo ya kidato cha nne,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,Temeke jijini Dar.Mkuu wa Shule ya sekondari Twayyibat,Juma Omari akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali,waliofika kwenye hafla hiyo ya mahafari iliyofanyika mwishoni mwa wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani