Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LILIANI KIBO HIGH SCHOOL YA GOBA, DAR, YAFANYA MAHAFALI

Wahitimu wa kidato cha sita wa Lilian Kibo High School wakati wa mahafali. Mwanafunzi bora katika masomo ya sayansi, Alkhadil Issa akipokea zawadi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BRIGHT ANGEL HIGH SCHOOL YAFANYA MAHAFALI YA SABA YA KIDATO CHA NNE MWISHONI MWA WIKI.

Kushoto ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bright Angel High School, Ajay Mohamed akiwa na mwanafunzi mwenzake katika shule hiyo. Kutoka kulia ni Mkuu wa shule ya Bright Angel High School, Angribeth Nkwera katikati ni Mgeni rasmi katika mahafali ya saba katika shule ya Bright Angel High School, Innocent Banzi na Bi.Yasinta Mwinuka wakiwa angalia wanafunzi wa shule hiyo wakati wakitumbuiza katika mahafali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Pwani. Mkuu wa shule ya Bright Angel High...

 

10 years ago

Vijimambo

Jasmine Mussa apongezwa katika mahafali ya kumaliza High School Md.

IMG_8279Bi.Jasmine Mussa akiwa mwenye furaha kubwa baada ya sherehe graduation yake ya kumaliza High school iliyofanyika huko Marriott Hotel Gaithersburg Md sasa akijiandaa kwenda Chuo cha Kent State Ohio. IMG_8280Dorris Puja mama mzazi. IMG_8347Wanafamilia wote wa Puja na Mussa wakipata kumbu kumbu ya pamoja. IMG_8321Mzee Puja aliyekuja kushuhudia graduation ya mjukuu wake akitokea Canada. IMG_8234Mtaalam steve Jr. IMG_8229Mr&Mrs Msungu. IMG_8292Umi Mbega anti wa Jasmine kutoka Columbus ohio. IMG_8242Robert,Joyce na mtoto wao Aida. IMG_8299
Sunday akiwa na...

 

11 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA TATU YA SHULE YA SEKONDARI YA KAJUMULO GIRLS HIGH SCHOOL BUKOBA YAFANA, BW. JAMES RUGEMALIRA ATOA MILLIONI 200/-


wahitimu wa kidato cha sita wa shule ya Kajumulo Girls High School wakati wa kusherekea mahafali ya tatu Wanafunzi wa Kajumulo Girls High School wanaohitimu kidato cha 6 wakati wa kusherekea mahafali ya tatu katika shule yao. Prof. Anna Tibaijuka kwa furaha akitoa neno. Kwa niaba ya Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea na Mwana hisa wa “VIP Engineering and Marketing Ltd” Mzee James Rugemalira aliyependa kuwa nasi leo lakini akashindwa kutokana na majukumu mengine, tunayo furaha...

 

9 years ago

ABC Online

Revisiting the School of St Jude, the Tanzanian high school Australians helped ...


ABC Online
Revisiting the School of St Jude, the Tanzanian high school Australians helped ...
ABC Online
As a journalist, it is not often you get to see a tangible example of the effect your work can have. Sometimes you hope that a particular story will achieve something — expose an injustice or bring about much-needed change, but most of the time, the ...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALIOSOMA ST JOSEPH CATHEDRAL HIGH SCHOOL WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZINDUA CHAMA SEPTEMBA 26/2015 KARIMJEE

1Richard Rugimbana Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi waliosoma katika shule ya (St Joseph Cathedral High School Alumn )kuanzia mwaka 1940 - 2014 akizungumza katika mkutano wao uliofanyika shuleni hapo jana wakati wa kikao chao kikilchojadili mipango mbalimbali ikiwamo kuanzisha mfuko wa Elimu utakaosaidia kuwasomesha wanafunzi wa shule hiyo wenye mahitaji maalum ikiwemo kuwapatia Scholaship katika vyuo mbalimbali. Chama hicho kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi Septemba 26 kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji yafanya Mahafali yake ya Sita

Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) Dkt. Shija Kazumba (kushoto) akimkaribisha Mgeni rasmi katika maafali ya sita ya Taasisi hiyo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ambaye pia ni mgeni rasmi wa mahafali hayo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea risala ya wahitimu iliyosomwa na kuwasilishwa kwa mgeni rasmi na Bw. Magembe Maduhu. Naibu Katibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara ya Goba, suluhu ya msongamano Dar es Salaam

MIAKA miwili iliyopita katika Jiji la Dar es Salaam, ilikuwa ni vigumu kumuuliza mtu swali la eneo la Goba lilipo, akakujibu kwa haraka, jibu rahisi walilokuwa nalo watu wengi ni...

 

9 years ago

Michuzi

St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam

Umoja wa wanafunzi waliosoma shule ya St Joseph convent school  ya jijini Dar es salaam iliyodumu kuanzia mwaka 1932 hadi 1969 . Na Forodhani Sekondari  ilyokuwapo kati ya 1970 hadi 2008 ( ilipotaifishwa na serikali) na baada ya hapo St Joseph Cathedral High school 2009 (baada ya kurudishwa kwa kanisa Katoliki)  hadi leo, tumeungana  na kuitwa  St. Joseph & Forodhani  ALUMNI .

St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani