Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bulembo amzawadia milioni 1/- aliyefanya vizuri kidato cha sita

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amemzawadia Sh milioni 1, Idrisa Hamis baada ya kuwa mmoja kati ya wanafunzi 10 waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI IWAWA WILAYANI MAKETE YATOA SIRI YA KUFANYA VIZURI MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014

Makamu mkuu wa shule ya sekondari Iwawa Fadhili Dononda akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake hii leo.
Na Edwin Moshi, MaketeIkiwa zimepita siku chache tangu kutangazwa matokeo ya kidato cha sita mwaka huu, shule ya sekondari Iwawa iliyoko wilayani Makete mkoani Njombe imetoa siri ya mafanikio ya wanafunzi wake kufaulu na kushika nafasi ya nne kitaifa.  Akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Fadhili Dononda amesema miongoni mwa sababu hizo ni pamoja...

 

11 years ago

Habarileo

Baba wa binti aliyefanya vyema kidato cha 6 atoa ya moyoni

BABA wa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita na kushika nafasi ya pili kitaifa masomo ya sayansi, Doris Noah amesema mtoto wake ana ndoto ya kuwa rubani lakini bado hakubaliani na maamuzi yake.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Kidato cha sita watamba

Wanafunzi 38,853 wamefaulu mitihani yao ya kidato cha sita kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani huo mwaka huu, huku matokeo yakionyesha kuwa shule za Serikali na binafsi zimeenda sambamba.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

KUBORONGA KIDATO CHA SITA



Serikali yazijia juu  Tambaza na Iyunga
NA MOHAMMED ISSA
SERIKALI imesema imechukizwa na matokeo mabaya ya kidato cha sita kwa sekondari za Tambaza Dar es Salaam na Iyunga, Mbeya.
Imesema kutokana na matokeo hayo katika shule hizo kongwe za serikali nchini, imetoa mwezi mmoja kwa walimu wakuu  kujieleza sababu za kufanya vibaya kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini, alisema hayo ofisini kwake mjini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato cha sita juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, akitangaza matokeo ya kidato cha sita.WATAHINIWA 38,853 kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2015, wamefaulu mitihani yao ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.67 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Kidato cha sita wasota vituoni

Wanafunzi walioanza mitihani ya Taifa ya kidato cha sita wamekuwa miongoni mwa watu walioathirika na mgomo wa madereva katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Mitihani kidato cha sita yaanza

shukuru-kawambwaGrace Shitundu na Michael Sarungi, Dar es Salaam
MTIHANI wa kidato cha Sita ulioanza jana nchini kote umeendelea licha ya mgomo wa madereva uliofanyika na kusababisha tatizo la usafiri.
Mtanzania ilifanikiwa kuzunguka katika baadhi ya shule zilizopo katikati ya jiji la Dar es Salaam ambazo ni Tambaza, Jangwani na Azania na kukuta wanafunzi wakiendeleea na mitihani yao.
Hata hivyo baadhi ya walimu waliliambia gazeti hili kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wamechelewa kufika katika chumba cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar hoi kidato cha sita

WAKATI watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2014 wakifaulu, Zanzibar imeangukia pua kwa kutoingiza shule hata moja kumi bora, badala yake shule zake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani