Mitihani kidato cha sita yaanza
Grace Shitundu na Michael Sarungi, Dar es Salaam
MTIHANI wa kidato cha Sita ulioanza jana nchini kote umeendelea licha ya mgomo wa madereva uliofanyika na kusababisha tatizo la usafiri.
Mtanzania ilifanikiwa kuzunguka katika baadhi ya shule zilizopo katikati ya jiji la Dar es Salaam ambazo ni Tambaza, Jangwani na Azania na kukuta wanafunzi wakiendeleea na mitihani yao.
Hata hivyo baadhi ya walimu waliliambia gazeti hili kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wamechelewa kufika katika chumba cha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Mitihani kidato cha pili yaanza leo nchini
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-a-oS7bkWPCA/XseSsxy2cpI/AAAAAAABMJ4/o8jmbSOu-NQWwOscHfuP16SWzIITSRWqwCLcBGAsYHQ/s72-c/98481023_2829380163839606_1179082309320572928_n.png)
MITIHANI KIDATO CHA SITA KUANZA RASMI 29 JUNI,2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-a-oS7bkWPCA/XseSsxy2cpI/AAAAAAABMJ4/o8jmbSOu-NQWwOscHfuP16SWzIITSRWqwCLcBGAsYHQ/s400/98481023_2829380163839606_1179082309320572928_n.png)
10 years ago
GPLMITIHANI YA KIDATO CHA NNE YAANZA, GPL YATEMBELEA MANZESE DAR
10 years ago
Habarileo30 Oct
'Kidato cha nne msiibe mitihani'
WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wanaotarajiwa kufanya mtihani wa taifa wameonywa kujiepusha na vishawishi vya kushiriki kwenye wizi wa mitihani na udanganyifu mwingine utakaowaondolea sifa ya kuendelea kufanya mitihani yao.
9 years ago
StarTV03 Nov
Watahiniwa kidato cha nne waanza mitihani
Wanafunzi wa kidato cha nne nchini wameanza mitihani ya Taifa ya kuhitimu elimu ya sekondari huku hali ya utulivu ikitawala katika vituo vyote vya kufanyia mitihani hiyo.
Mitihani hiyo imeanza Novemba 2 hadi 27 na jumla ya watahiniwa 4,634 ndiyo wanaofanya mitihani hiyo huku 960 wakiwa ni watahiniwa wa kujitegemea.
Startv imetembelea katika baadhi ya shule ambapo mitihani hiyo inafanyika na kushuhudia wanafunzi wakiwa wanajisomea kwa ajili ya kujikumbusha kile walichofundishwa.
Monica...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Mitihani kidato cha nne upo palepale
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Wanafunzi kidato cha pili waanza mitihani
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
BARAZA lA Mitihani Tanzania (NECTA) limesema wanafunzi 397, 250 wa kidato cha pili wameanza kufanya Mitihani ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) ikijumuisha wavulana 197,452 sawa na asilimia 49.70 na wasichana 199,798 sawa na asilimia 50.30.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde, alisema mitihani hiyo ilianza jana katika shule za sekondari 4,764 za Tanzania bara na itamalizika...
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA