Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MITIHANI YA KIDATO CHA NNE YAANZA, GPL YATEMBELEA MANZESE DAR

Wanafunzi  wakijisomea ili kukabiliana na mtihani unaofuata. Mwanafunzi akipitia  daftari lake kabla ya kuingia darasani. Baadhi ya wanafunzi wakiwa mapumziko kusubiri mtihani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

'Kidato cha nne msiibe mitihani'

WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wanaotarajiwa kufanya mtihani wa taifa wameonywa kujiepusha na vishawishi vya kushiriki kwenye wizi wa mitihani na udanganyifu mwingine utakaowaondolea sifa ya kuendelea kufanya mitihani yao.

 

10 years ago

Mtanzania

Mitihani kidato cha sita yaanza

shukuru-kawambwaGrace Shitundu na Michael Sarungi, Dar es Salaam
MTIHANI wa kidato cha Sita ulioanza jana nchini kote umeendelea licha ya mgomo wa madereva uliofanyika na kusababisha tatizo la usafiri.
Mtanzania ilifanikiwa kuzunguka katika baadhi ya shule zilizopo katikati ya jiji la Dar es Salaam ambazo ni Tambaza, Jangwani na Azania na kukuta wanafunzi wakiendeleea na mitihani yao.
Hata hivyo baadhi ya walimu waliliambia gazeti hili kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wamechelewa kufika katika chumba cha...

 

9 years ago

StarTV

Watahiniwa kidato cha nne waanza mitihani

Wanafunzi wa kidato cha nne nchini wameanza mitihani  ya Taifa ya kuhitimu elimu ya sekondari huku hali ya utulivu ikitawala katika vituo vyote vya kufanyia mitihani hiyo.

Mitihani hiyo imeanza Novemba 2 hadi 27 na jumla ya watahiniwa 4,634 ndiyo wanaofanya mitihani hiyo huku  960 wakiwa ni watahiniwa wa kujitegemea.

 Startv imetembelea katika baadhi ya shule ambapo mitihani hiyo inafanyika na kushuhudia wanafunzi wakiwa wanajisomea kwa ajili ya kujikumbusha kile walichofundishwa.

Monica...

 

9 years ago

Mwananchi

Mitihani kidato cha nne upo palepale

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitangaza kuwa leo ni siku ya mapumziko nchi nzima ili kutoa nafasi kwa Watanzania kushiriki na kufuatilia sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, wanafunzi wa kidato cha nne wataendelea na mitihani yao ya kuhitimu elimu ya sekondari kama kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi

  Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne katika shule mbalimbali nchini, wanaanza mtihani wa kuhitimu utakaokamilika baada ya siku 20 huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mitihani kidato cha pili yaanza leo nchini

Zaidi ya wanafunzi 490,000 wa kidato cha pili nchini, leo wanaanza kufanya mitihani yao ya Taifa katika vituo zaidi ya 4,500, chini ya usimamizi wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta).

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA MITIHANI LAPANGUA MFUMO MZIMA WA KUPANGA MADARAJA YA UFAULU KIDATO CHA NNE NA TANO


Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.  Asilimia 30 za Alama Endelevu, zitapatikana kutokana na mitihani mbalimbali. Kwa Kidato cha Nne mwaka huu, alama hizo zitatokana na matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha pili ambao...

 

10 years ago

Michuzi

mahafali ya shule ya sekondari Twayyibat kidato cha nne yafanyika temeke jijini dar

  Sehemu ya meza kuu,kutoka kulia ni Imam Abbasi Maunda  (mdau), Bi Halima Mamuya (mdau), Balozi Amina Salum Ali (mgeni rasmi), Fatma Khalfan (Mwenyekiti wa bodi), Juma Omari (mkuu wa shule) wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mahafali hayo ya kidato cha nne,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,Temeke jijini Dar.Mkuu wa Shule ya sekondari Twayyibat,Juma Omari akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali,waliofika kwenye hafla hiyo ya mahafari iliyofanyika mwishoni mwa wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani