Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE LA VIJANA LAENDELEA BUNGENI DODOMA

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mradi wake wa kuwajengea Uwezo Wabunge na Watumishi (LSP) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP kwa mara ya Pili mwaka huu limeratibu Bunge la Vijana kwa kushirikisha Wanafunzi zaidi ya 100 kutoka Taasisi za Elimu ya Juu hapa Nchi ambao ni viongozi katika Serikali zao. Bunge hilo ambalo limeanza Jumamosi tarehe 15 Julai, 2015 na linatarajiwa kumalizika tarehe 19 Julai 2015.
 Spika wa Bunge la Vijana kwa mwaka 2015...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA

Picha na habari na  Owen Mwandumbya, Dodoma  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeandaa Bunge la Vijana linalofanyika Mjini Dodoma kwa siku tatu, ikiwa ni jitihada la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu nchini. Bunge hilo liloanza vikao vyake juzi linalojumuisha Vijana kutoka Vyuo Vikuu 15 vya hapa Nchini vinavyozunguka mkoa wa Dodoma.  Bunge hilo linalotarajiwa kumalizika tarehe 3 Desemba, 2014, ni sehemu ya Mpango wa Elimu kwa Umma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

11 years ago

Dewji Blog

Kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa  Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9316

Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare  (kulia) akizungumza na  Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma.

PG4A9343

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma.

PG4A9392

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro...

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti

PG4A9866

Waziri wa Ujenzi, Mh. John Magufuli  akisoma bajeti ya Wizara  hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9913

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  Mei  21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9928

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Uratibu  na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka  Bunge la...

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA

  Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta  akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo.  Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano Mhe James Mbatia na Mhe Beatrice Shelukindo. Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge... Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Angellah Kairuki...

 

10 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS:Spika Makinda akatisha Bunge kunusuru fujo Bungeni Dodoma leo

8517823001

Spika wa Bunge, Anne Makinda  saa moja iliyopita mjini Dodoma, ameamua kukatisha kikao cha 19 cha Bunge kilichokuwa kikiendelea mjini humo kufuaatia Wabunge kusimama  kwa kumshinikiza Waziri Mkuu atoe kauli ya juu ya Zoezi la uandikishaji wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura  lililokuwa likiendelea Mkoa wa Njombe, huku likikabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo mashine za Biometric Voter Registration (BVR), kushindwa kufanya kazi ipasavyo na matatizo juu ya zoezi hilo.

maji-mnyika

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard Ndassa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi Mohamed Bissanga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani