Bunge laibana TFF
SERIKALI imetakiwa kuibana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iweke utaratibu wa sharti la lazima kulitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutumia mfumo wa tiketi za kielektroniki ikiwa ni jitihada za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Oct
Bunge laibana Wizara ya Ardhi
BAADA ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali kutoa makucha yake na kuibana Serikali ilipe madeni ya hifadhi za jamii yanayofikia Sh trilioni 8.4, na pia kufichua kasoro kadhaa katika hesabu za Serikali, kamati nyingine ya Bunge nayo imeibuka na kuibana Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi juu ya utata wa hati za viwanja.
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Baraza jipya la Wazee Chadema laibana Serikali
11 years ago
Michuzi
TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...