Bunge lapasuka
MGAWINYIKO wa wajumbe wa Bunge la Katiba umeanza kupoteza matumaini ya Watanzania kupata katiba mpya. Misimamo ya vyama, makundi vimeanza kujenga hofu kwa wajumbe katika upigaji wa kura za maamuzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Mar
Gari lapasuka tairi, laua 3
WATU watatu wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka tairi na kisha kugonga daraja na kupinduka katika kijiji cha Ng’ombe wilayani Misungwi.
10 years ago
Habarileo23 Aug
Basi la Kisbo lapasuka tairi na kuua 2
WATU wawili wamekufa papo hapo na wengine 52 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kisbo walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama kupasuka tairi ya mbele na kupinduka katika kijiji cha Kambi ya Mkaa, wilayani Ikungi kwenye barabara kuu ya Singida – Dodoma.