Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gari lapasuka tairi, laua 3

WATU watatu wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka tairi na kisha kugonga daraja na kupinduka katika kijiji cha Ng’ombe wilayani Misungwi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Basi la Kisbo lapasuka tairi na kuua 2

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wawili wamekufa papo hapo na wengine 52 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kisbo walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama kupasuka tairi ya mbele na kupinduka katika kijiji cha Kambi ya Mkaa, wilayani Ikungi kwenye barabara kuu ya Singida – Dodoma.

 

11 years ago

Habarileo

Gari la Magereza laua mahabusu 4

MAHABUSU wanne waliokuwa wakitokea katika Mahakama ya Mwanzo Kimanzichana, pamoja na askari aliyekuwa akiwasindikiza, wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitembea.

 

10 years ago

Habarileo

Gari laua watu 3 Mtwara

WATU watatu wamekufa na 12 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka tairi la mbele na kuacha njia na kugonga mti.

 

10 years ago

Habarileo

Gari lenye maiti 10 laua ‘bodaboda’, abiria

DEREVA wa bodaboda na abiria wake wamekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari lililobeba maiti 10 zilizotolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Gari maalumu la JWTZ laparamia nyumba, laua

Watu wawili wamefariki dunia papohapo na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), maalumu kwa ajili ya kubeba askari, kuacha njia na kugonga nyumba mbili za raia katika Kijiji cha Mnolela Manispaa ya Lindi.

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA SUMRY LAUA WATU 1( WAKATI WAKISITIRI MAITI ILIYOGONGWA NA GARI SINGIDA.


WATU 19 wakiwemo askari Polisi wanne wamepota maisha katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika. Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge lapasuka

MGAWINYIKO wa wajumbe wa Bunge la Katiba umeanza kupoteza matumaini ya Watanzania kupata katiba mpya. Misimamo ya vyama, makundi vimeanza kujenga hofu kwa wajumbe katika upigaji wa kura za maamuzi...

 

11 years ago

GPL

ABIRIA AAMUA KUBADILI TAIRI LA BAJAJI MWENYEWE

Msanifu kurasa wa Global Publishers Ltd, Huruma Bujiku alinaswa na kamera yetu akibadili tairi la bajaji baada ya kutokea pancha wakati akielekea ofisini jana asubuhi eneo la Tazara - Mchicha jijini Dar es Salaam. (Picha na Haruni Sanchawa / GPL)

 

11 years ago

Habarileo

TBS: Magari mitumba, tairi chakavu chanzo cha ajali

UNUNUZI wa magari nje ya nchi yaliyokaa muda mrefu kisha kuyatumia nchini, unadaiwa kuchangia ajali nyingi barabarani, kutokana na baadhi tairi kuisha muda wa matumizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani