Gari laua watu 3 Mtwara
WATU watatu wamekufa na 12 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka tairi la mbele na kuacha njia na kugonga mti.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Watu 10 wauawa Kiteto, Mtwara jambazi laua polisi
11 years ago
Michuzi30 Apr
BASI LA SUMRY LAUA WATU 1( WAKATI WAKISITIRI MAITI ILIYOGONGWA NA GARI SINGIDA.
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/zSaPxWsKXfQnP_rz2cFLYndr134Dze4FNZsmYL6Nv3mndXZwS2NMYLv-SGEDJlBvl9NhHS1U3ryBQX_DQ5mFQVw7dmr7Uu6UlPDX4137x1YabIcpC82RJQ=s0-d-e1-ft#http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/sumry_300_183.jpg)
WATU 19 wakiwemo askari Polisi wanne wamepota maisha katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika. Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa...
11 years ago
Habarileo23 Apr
Gari la Magereza laua mahabusu 4
MAHABUSU wanne waliokuwa wakitokea katika Mahakama ya Mwanzo Kimanzichana, pamoja na askari aliyekuwa akiwasindikiza, wamekufa papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitembea.
11 years ago
Habarileo05 Mar
Gari lapasuka tairi, laua 3
WATU watatu wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka tairi na kisha kugonga daraja na kupinduka katika kijiji cha Ng’ombe wilayani Misungwi.
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Gari maalumu la JWTZ laparamia nyumba, laua
10 years ago
Habarileo17 Aug
Gari lenye maiti 10 laua ‘bodaboda’, abiria
DEREVA wa bodaboda na abiria wake wamekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari lililobeba maiti 10 zilizotolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo09 Sep
Basi laua watu 4 korongoni
AJALI nyingine imetokea nchini na safari hii imehusisha basi la Air Bus, lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
11 years ago
Habarileo15 May
Basi laua watu 10 Mwanza
WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la Nyamhongholo, jijini Mwanza.