Watu 10 wauawa Kiteto, Mtwara jambazi laua polisi
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Hifadhi ya Embroi Murtangosi, wilayani Kiteto mkoani Manyara, imefikia 10.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Oct
Gari laua watu 3 Mtwara
WATU watatu wamekufa na 12 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka tairi la mbele na kuacha njia na kugonga mti.
10 years ago
StarTV22 Dec
Watu wawili wauawa Mwembe Togwa Mtwara Vijijini.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Vijana wawili wameuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za ujambazi katika shule ya Msingi Mwembe Togwa wilayani Mtwara Vijijini.
Vijana hao wanaosadikika kuwa walitaka kuiba vifaa vya shule hiyo vinavyotumia mtandao kwa ajili ya kujifunzia na kutoa taarifa kutoka ngazi ya chini kupeleka wilayani wameuawa baada ya mlinzi wa Shule kutoa taarifa katika nyumba za jirani na shule hiyo ndipo wakazi wa eneo hilo walikusanyika na kuwaua.
Ilikuwa majira ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Og0l_Vwzudk/VcD0J6VTegI/AAAAAAABTKw/4pFqhwd9QhQ/s72-c/Kamanda%2Bwa%2BPolisi%2Bmkoa%2Bwa%2BMbeya%2BAhmed%2BMsangi.jpg)
WATU WANNE WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KATIKA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI NA POLISI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Og0l_Vwzudk/VcD0J6VTegI/AAAAAAABTKw/4pFqhwd9QhQ/s640/Kamanda%2Bwa%2BPolisi%2Bmkoa%2Bwa%2BMbeya%2BAhmed%2BMsangi.jpg)
Katika tukio hilo watu wanne wanaume wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa katika majibizano ya kurushiana risasi na Askari Polisi.
Tukio hilo limetokea Agusti 3, 2015 majira ya saa 09.00hrs eneo la Sogea, Kata na Tarafa ya Tunduma Wilaya ya Momba.
Awali watu hao walivamia dukani kwa Thadeo Sanga (50), mfanyabiashara na wakala wa kuuza/kusambaza bia za TBL ,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl9mS*g2jX9-HiuGKWd6ENDogDIPrIWekyDjM1ndZV9y*tcnP-jP6-epkGi9JVAFLWXkhHLhIUNuSmf-Pd21nFuu/1JAMBAZI.jpg?width=650)
JAMBAZI LINALOUA WATU LAFUNGIWA KAZI
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Polisi Tarime yaua jambazi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, Mkoa wa Mara, limemuua kwa kumpiga risasi jambazi mmoja na wengine watatu kunusurika katika tukio la kurushiana risasi katika Kitongoji cha...
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Jambazi la uawa na Jeshi la Polisi Mkoani Singida!
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pkAizUyp4G0/XlUR9VmfLXI/AAAAAAALfRY/N6BCykH_BRYxIpDduBG9Q8NPOeWEU9aHgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
POLISI DAR WAUA JAMBAZI SUGU MWENYE UMRI WA MIAKA 20
![](https://1.bp.blogspot.com/-pkAizUyp4G0/XlUR9VmfLXI/AAAAAAALfRY/N6BCykH_BRYxIpDduBG9Q8NPOeWEU9aHgCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam Ramadhan Rashid maarufu kwa jina la Asney Mjeuri anayetuhumiwa kwa ujambazi sugu ameuawa wakati akitaka kuwakimbia askari Polisi.
Akizungumza leo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi sugu alikamatwa Februari 24 ,2020 saa saba usiku maeneo ya Sabasaba Mbagala Kizuiani...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi
9 years ago
StarTV06 Jan
Polisi Singida yamshikia kijana mmoja anayetuhumiwaa kuwa jambazi sugu:
Polisi mkoani Singida imefanikiwa kumkamata kijana mmoja aliyekuwa anatafutwa muda mrefu kwa tuhuma za ujambazi sugu, baada ya kumjeruhi kwa mpiga risasi wakati akijaribu kutoroka.
Mtuhumiwa huyo Idi Issa mwenye miaka 33 mkazi wa Kibaoni Mjini Singida amekamatwa usiku wa kuamkia jana katika baa ya Leaders akihusishwa na matukio mbalimbali ya ujambazi wa silaha, moja likiwa ni kuvunja nyumba na kuwaibia raia wa China fedha taslimu shilingi milioni 17.4
Katika kikao na waandishi wa habari...