Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Tarime yaua jambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, Mkoa wa Mara, limemuua kwa kumpiga risasi jambazi mmoja na wengine watatu kunusurika katika tukio la kurushiana risasi katika Kitongoji cha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jambazi raia wa Kenya auawa Tarime

WATU wawili akiwemo mkazi wa kitongoji cha Nchoke katika Kijiji cha Kubiterere, Kata ya Mwema wilayani hapa, Mwikwabe Kirutu (30) wameuawa katika mapambano baina ya wananchi na majambazi waliokuwa na bunduki mbili za kivita kijijini hapo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabishano ya kisiasa yaua Tarime

 Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kadogo John Msabi, mkazi wa kijiji cha Remage, kata ya Nyagicheri, wilayani Tarime mkoani Mara ameuawa kwa kuchomwa kisu tumboni na mtu anayedaiwa kuwa ni ndugu yake wa damu baada ya kutofautiana kisiasa.

 

11 years ago

GPL

AJALI YAUA MMOJA TARIME

MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Juma (35), amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa baada ya basi la Zakaria Express lenye namba T 405 CLT lililokuwa likitoka Sirari kwenda Mwanza kuacha njia na kupinduka leo asubuhi huko Tarime mkoani Mara. Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, basi hilo lilikuwa likijaribu kukwepa lori pamoja na ng'ombe ndipo lilipoacha njia na kupinduka. Majeruhi wa ajali hiyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jambazi la uawa na Jeshi la Polisi Mkoani Singida!

RPC

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari Mkoani humo. (Picha ya Maktaba yetu). Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Jeshi la Polisi Mkoani Singida, limefanikiwa kumuawa Dotto William anayekadiriwa kuwa na umri kati ya 30 na 33 mkazi wa Kibaoni kata ya Kindai tarafa ya Unyaminkumbi mjini Singida anayesadikika kuwa ni jambazi sugu,wakati wa kupukushani za kumnyang’anya askari silaha.    Mtuhumiwa huyo ujambazi na  kinara  wa matukio ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wauawa Kiteto, Mtwara jambazi laua polisi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Hifadhi ya Embroi Murtangosi, wilayani Kiteto mkoani Manyara, imefikia 10.

 

5 years ago

Michuzi

POLISI DAR WAUA JAMBAZI SUGU MWENYE UMRI WA MIAKA 20

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa
 
Na  Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam Ramadhan Rashid maarufu kwa jina la Asney Mjeuri anayetuhumiwa kwa ujambazi sugu ameuawa wakati akitaka kuwakimbia askari Polisi.
Akizungumza leo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi sugu alikamatwa Februari 24 ,2020 saa saba usiku maeneo ya Sabasaba Mbagala Kizuiani...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi

>Ni ukweli usiopingika kwamba siku ya kuzaliwa na kufa ya kila binadamu anaijua Mungu. Akaiamua kukuita kwake, huwezi kupinga kifo kwa namna yoyote.

 

9 years ago

StarTV

Polisi Singida yamshikia kijana mmoja anayetuhumiwaa kuwa jambazi sugu:

 

Polisi mkoani Singida imefanikiwa kumkamata kijana mmoja aliyekuwa anatafutwa muda mrefu kwa tuhuma za ujambazi sugu, baada ya kumjeruhi kwa mpiga risasi wakati akijaribu kutoroka.

Mtuhumiwa huyo Idi Issa mwenye miaka 33 mkazi wa Kibaoni Mjini Singida amekamatwa usiku wa kuamkia jana katika baa ya Leaders akihusishwa na matukio mbalimbali ya ujambazi wa silaha, moja likiwa ni kuvunja nyumba na kuwaibia raia wa China fedha taslimu shilingi milioni 17.4

Katika kikao na waandishi wa habari...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi mkoani Singida lamshikilia mtu anayedhaniwa kuwa jambazi sugu

sedoyeka

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

Jeshi la polisi mkoani Singida,limefanikiwa kukamata mkulima na mkazi wa Kibaoni Iddy Issah (33), anayedhaniwa kuwa ni  jambazi sugu baada ya kulipiga risasi moja mguu wake wa kulia, wakati alipojaribu kutoroka.

Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Simon Haule,alisema mtuhumiwa huyo amekamatwa Januari tatu mwaka huu saa 7.20 usiku katika baa ya Leaders iliyopo kata ya Kindai tarafa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani