Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Singida yamshikia kijana mmoja anayetuhumiwaa kuwa jambazi sugu:

 

Polisi mkoani Singida imefanikiwa kumkamata kijana mmoja aliyekuwa anatafutwa muda mrefu kwa tuhuma za ujambazi sugu, baada ya kumjeruhi kwa mpiga risasi wakati akijaribu kutoroka.

Mtuhumiwa huyo Idi Issa mwenye miaka 33 mkazi wa Kibaoni Mjini Singida amekamatwa usiku wa kuamkia jana katika baa ya Leaders akihusishwa na matukio mbalimbali ya ujambazi wa silaha, moja likiwa ni kuvunja nyumba na kuwaibia raia wa China fedha taslimu shilingi milioni 17.4

Katika kikao na waandishi wa habari...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi mkoani Singida lamshikilia mtu anayedhaniwa kuwa jambazi sugu

sedoyeka

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

Jeshi la polisi mkoani Singida,limefanikiwa kukamata mkulima na mkazi wa Kibaoni Iddy Issah (33), anayedhaniwa kuwa ni  jambazi sugu baada ya kulipiga risasi moja mguu wake wa kulia, wakati alipojaribu kutoroka.

Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Simon Haule,alisema mtuhumiwa huyo amekamatwa Januari tatu mwaka huu saa 7.20 usiku katika baa ya Leaders iliyopo kata ya Kindai tarafa ya...

 

5 years ago

Michuzi

POLISI DAR WAUA JAMBAZI SUGU MWENYE UMRI WA MIAKA 20

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa
 
Na  Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam Ramadhan Rashid maarufu kwa jina la Asney Mjeuri anayetuhumiwa kwa ujambazi sugu ameuawa wakati akitaka kuwakimbia askari Polisi.
Akizungumza leo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi sugu alikamatwa Februari 24 ,2020 saa saba usiku maeneo ya Sabasaba Mbagala Kizuiani...

 

10 years ago

Michuzi

JAMBAZI SUGU LILILOKUA LIKIUWA WANAWAKE ARUSHA LAUWAWA NA POLISI WANANCHI WASHANGILIA

picha ya juu na chini  wananchi wa jiji la Arusha  waliojitokeza kuuangalia mwili wa  jambazi huyo atari aliowawa na polisi usiku wa kuamkia leo. wananchi wakiendelea kushuhudia mwili wa jambazi hilo nje ya jengo la makao makuu ya polisi mkoani Arusha.

 baadhi ya vitu vilivyokutwa kwa jambazi hilo zikiwemo silaha mbalimbali kamanda wa polisi akionyesha moja ya kifaa cha kufanyia tageti kabla ya kupiga kijulikanacho kwa jina la Glock Fab Defence moja ambacho jambazi hilo lilikuwa likitumia
...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jambazi la uawa na Jeshi la Polisi Mkoani Singida!

RPC

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari Mkoani humo. (Picha ya Maktaba yetu). Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Jeshi la Polisi Mkoani Singida, limefanikiwa kumuawa Dotto William anayekadiriwa kuwa na umri kati ya 30 na 33 mkazi wa Kibaoni kata ya Kindai tarafa ya Unyaminkumbi mjini Singida anayesadikika kuwa ni jambazi sugu,wakati wa kupukushani za kumnyang’anya askari silaha.    Mtuhumiwa huyo ujambazi na  kinara  wa matukio ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jambazi sugu asakwa Tanzania

Polisi Nchini Tanzania wanamsaka mtu mmoja mwenye silaha, ambaye amewauwa watu wanane kwa kuwapiga risasi na kuwajeruhi wengine 3.

 

10 years ago

GPL

JAMBAZI SUGU LAUAWA ARUSHA

mwili wa Jambazi hilo ukiwa umelazwa ndani ya gari la polisi mara baada ya kuuawa tayari kwa ajili ya kupelekwa mochwari.…

 

10 years ago

Vijimambo

JAMBAZI SUGU LILILOKUA LIKUWA WANAWAKE LAUAWA ARUSHA

picha ya juu na chini wananchi wa jiji la Arusha waliojitokeza kuuangalia mwili wa jambazi huyo atari aliowawa na polisi usiku wa kuamkia leomwili wa Jambazi hilo ukiwa umelazwa ndani ya gari la polisi mara baada ya kuwawa tayari kwa ajili ya kupelekwa mochwariwananchi wakiendelea kushuhudia mwili wa jambazi hilo nje ya jengo la makao makuu ya polisi mkoani Arushabaadhi ya vitu vilivyokutwa kwa jambazi hilo zikiwemo silaha mbalimbalikamanda wa polisi akionyesha moja ya kifaa cha kufanyia...

 

10 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa wanasa jambazi sugu, SMG, risasi 331

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaPOLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji cha Lyoma, Bariadi mkoani Simiyu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LAKAMATA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI, WAKAMATA WAHARIFU SUGU

Mali zilizokamatwa.
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama ali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu pamoja na ajali za barabarani. 
KUPATIKANA NA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI. Jeshi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani