Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabishano ya kisiasa yaua Tarime

 Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kadogo John Msabi, mkazi wa kijiji cha Remage, kata ya Nyagicheri, wilayani Tarime mkoani Mara ameuawa kwa kuchomwa kisu tumboni na mtu anayedaiwa kuwa ni ndugu yake wa damu baada ya kutofautiana kisiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Tarime yaua jambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, Mkoa wa Mara, limemuua kwa kumpiga risasi jambazi mmoja na wengine watatu kunusurika katika tukio la kurushiana risasi katika Kitongoji cha...

 

11 years ago

GPL

AJALI YAUA MMOJA TARIME

MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Juma (35), amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa baada ya basi la Zakaria Express lenye namba T 405 CLT lililokuwa likitoka Sirari kwenda Mwanza kuacha njia na kupinduka leo asubuhi huko Tarime mkoani Mara. Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, basi hilo lilikuwa likijaribu kukwepa lori pamoja na ng'ombe ndipo lilipoacha njia na kupinduka. Majeruhi wa ajali hiyo...

 

9 years ago

Vijimambo

Mabishano makali yaibuka kesi mauaji bilionea Msuya.


Baadhi ya washtakiwa wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara, bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya, wakitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi jana, baada ya kusikiliza ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka. PICHA NA GODFREY MUSHIMahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi, imeipokea ripoti ya uchunguzi wa kifo cha mfanyabiashara bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), iliyosainiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk. Paul Chaote,...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBA HAITAPATIKANA KWA MALUMBANO,MABISHANO WALA MAANDAMANO - KISABYA

Akiongea na waandushi wa habari Ofisini kwake, NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU WA BODI YA CHAMA (NRA), mhe HASSAN KISABYA ALMAS, amewaonya viongozi wenzake wa kisiasa kuacha malumbano na badala yake wajikite kuhakikisha Taifa linapata katiba,
Mhe Kisabya alisema, "mpaka sasa wajumbe wa bunge wanasiasa wamekuwa wakijadili nafasi za kisiasa za utawala na kusahau kuwa kuna mambo mazuri muhimu yanayohusu wananchi"Akitoa mfano kuwa suala la idadi ya SERIKALI ni jambo la kuamua lakini masuala...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Achukizwa na Mabishano ya Kidini Yaliyozuka Baada ya Posti Yake!!!

Mwigizaji wa filamu Aunt Ezekiel ambae kwasasa ni mjamzito, amechukizwa na kitendo cha baadhi ya watu ambao ni followers wake kwenye mtandao wa Instagram kumshambulia na kuzua malumbano ya maswala ya Dini, hii ilitokea hapo jana (Jumapili) mara baada ya mwigizaji  huyo kubandika picha (hiyo hapo juu) mtandaoni na kuandika maneno haya “When Jesus say YES no body can say No …..Happy me”

Kitendo hiki kiliwafanya baadhi ya watu wenye imani tofauti na ukristu kuibuka na kuanza kumshambulia kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego na Diamond wayapeleka mabishano yao ya muziki kwenye siasa, soma vijembe walivyotupiana

Kampeni za uchaguzi zimewatengenisha maswahiba kwenye muziki, Nay wa Mitego na Diamond Platnumz. Wawili hao waliohit na wimbo wao ‘Muziki Gani’ wapo kwenye kampeni za pande mbili zenye nguvu kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Ukawa na CCM. Na sasa ubishani wao umehamia kwenye siasa. Kupitia Instagram, Diamond amepost kipande cha video cha show yake ya […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

RPC Tarime matatani

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime Rorya, Justus Kamugisha, anatumia madaraka yake vibaya kumnyanyasa askari wake, G. 2751 PC. Japhet Samwel, aliyeumia mkono akiwa kazini mgodini Nyamongo. Licha ya...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema yapeta Tarime

MATOKEO ya kura za udiwani na ubunge katika majimbo ya Tarime Mjini na Tarime Vijijini yameonesha wagombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepata ushindi katika nafasi hizo ukilinganisha na wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Daily News

Tarime 'has no firefighters, equipment'


Tarime 'has no firefighters, equipment'
Daily News
THE entire District of Tarime, Mara Region, has no firefighters who can immediately attend to fire outbreaks. Instead, the firefighting team is found in Musoma, the capital of the Lake Zone Region. “At the moment, fire fighters and all vehicles are in Musoma but ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani